Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

JE NI NINI HOFU YA TUME ENDAPO WATANZANIA SAFI KABISA WATAAMUA KUSUBIRIA MATOKEO YAO HAPO ? BAADHA YA MAMBO AMBAYO TEME INAPENDEKEZA NDIYO HAYO HAYO HUENDA YAKAWA CHANZO CHA VURUGU KWA NINI UWAWEKE WATU KATIKA BRACKET IWAACHE WANAOTAKA KULINDA KURA ZAO KAMA KWELI HAKUNA UJANJA UJANJA
 
SASA BASI
 
Vituo vingi viko chini ya mita 100 kutoka makazi ya watu, biashara taasisi, barabara nk. Haviko maporini au angani.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Sheria ya NEC na sheria za TCRA zote ni sheria mbaya. Kama NEC inafanya mambo ya halali kwa nini inaogopa wapiga kura wasikaribie kituo.

Mwaka huu mutuue wote mbaki mnatawala wenyewe NEC, na Polisi, lakini wananchi kamwe hatuendi nyumbani. Tunalinda kura zetu
 
Ni sahihi raia kulinda kilicho chao na ndio maana wanasaidiana na polisi katika kuhakikisha ulinzi na usalama, kwanini katika hili tuwatenge raia?
Hakuna askari yeyote kumharass raia mwema anayelinda mali yake!
 
..Nilitegemea NEC wasema hawana mpango wa kudhulumu kura za mgombea yeyote.

..Kwamba wana uhakika na hilo, na hawana wasiwasi na yeyote yule, hata anayetaka kuchungulia ktk madirisha ya kituo cha kura.
 
🤣🤣 Najua hutaweza.
 
SASA BASI
NEC haina uwezo wa kuzuia wananchi milioni 10 kulinda kura zao.

Haina resouces za kufanya hivyo nchi nzima. raia ni wengi kuliko Majeshi yote yaliyoko nchini
Wawe na heshima. Huu ni wakati wa waTz kuchagua wanaemtaka ili kurudisha Uhuru, Haki na Maendeleo ya WATU.
 

Mwaka huu tunalinda kura mmetunga sheria mbovu kwaajili yenu sisi siyo mifugo. CCM tumeshaju janja yenu . 'you can not fool us all the time'
 
Mwaka wa ukombozi
 

Kuna athari gani inayoweza kutokea watu wakikaa mita mia moja kutoka kwenye kituo cha kupigia kura?

Amandla.....
 
Umeshapiga Kura Vyema,Kwani Kuna Ubaya Gani Ukarudi Nyumbani Ama Kukaa Nje Ya Mita 200 Na Kuwaacha Mawakala Wetu Kutuwakilisha Vituoni?!!!

Kujazana Nje Ya Vituo Ni Kuzuia Wengine Kupiga Kura Kwa Utulivu...


Tafakari.
 
Umeshapiga Kura Vyema,Kwani Kuna Ubaya Gani Ukarudi Nyumbani Ama Kukaa Nje Ya Mita 200 Na Kuwaacha Mawakala Wetu Kutuwakilisha Vituoni?!!!

Kujazana Nje Ya Vituo Ni Kuzuia Wengine Kupiga Kura Kwa Utulivu...


Tafakari.
Kwani kuna ubaya gani ukahesabu kura kwa uwazi mbele ya wapiga kura km walivyo fanya CCM kwanini kwenye uchaguzi mkuu iwe haramu. Mwisho wa siku anayetaka matokeo ni mpiga kura au siyo
 
Mimi nitakaa mita 100 kusubiria matokeo. Ni haki yangu.
Tume ya uchaguzi sio huru, haiaminiki. Inatunga kanuni zinazokinzana na Sheria. Kituo kina mipaka, 100m ni umbali tosha. Ni wazi kuna kusubiriana, hoja ya piga kura ondoka ielezwe ni kifungu gani cha Sheria, na kama ipo ni ya kusaidia kuingiza kura za wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…