Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi uliopita ulikuepo?Sheria ya NEC na sheria za TCRA zote ni sheria mbaya. Kama NEC inafanya mambo ya halali kwa nini inaogopa wapiga kura wasikaribie kituo.
Mwaka huu mutuue wote mbaki mnatawala wenyewe NEC, na Polisi, lakini wananchi kamwe hatuendi nyumbani. Tunalinda kura zetu
Wanaogopa mtaona kura zitakazo letwa na wasio julikana.Ni kwanini wana wasiwasi kama haki itatendeka!
Kwani kuna ubaya gani ukahesabu kura kwa uwazi mbele ya wapiga kuraka walivyo fanya CCM kwanini kwenye uchaguzi mkuu iwe haramu
Yawezekana safari hii vyote vipo porini!Ina maana vituo vya kupigia kura vitakuwa zaidi ya mita Mia moja toka kwenye makazi ya Watu?
Mita 200 Ni Sawa Na Viwanja Viwili Vya Mpira Wa Miguu na Ni mbali na Vituo...Tume ya uchaguzi sio huru, haiaminiki. Inatunga kanuni zinazokinzana na Sheria. Kituo kina mipaka, 100m ni umbali tosha. Ni wazi kuna kusubiriana, hoja ya piga kura ondoka ielezwe ni kifungu gani cha Sheria, na kama ipo ni ya kusaidia kuingiza kura za wizi.
Vyovyote vile tutalinda kuraTume ya uchaguzi sio huru, haiaminiki. Inatunga kanuni zinazokinzana na Sheria. Kituo kina mipaka, 100m ni umbali tosha. Ni wazi kuna kusubiriana, hoja ya piga kura ondoka ielezwe ni kifungu gani cha Sheria, na kama ipo ni ya kusaidia kuingiza kura za wizi.
Polisi wakijitenga, wajiandae kuvunjika kwa ulinzi shirikishi. Ulinzi shirikishi usiwe kwa vibaka wadogo, kibaka demokrasia mkubwa wananchi wakawekwa pembeni.Ni sahihi raia kulinda kilicho chao na ndio maana wanasaidiana na polisi katika kuhakikisha ulinzi na usalama, kwanini katika hili tuwatenge raia?
Hakuna askari yeyote kumharass raia mwema anayelinda mali yake!
tutaona sasa si mnasema mpo wengi zaidi ya askari polisi na ikibidi tutatumia jeshi maana mmehamasishwa na kibaraka mabaye yeye ana pasport mbili tayari, anzeni muone kuwa polisi wa Tanzania sio watu wa kuchezewachezewa na kutukanwa na tena tuna wana hasira maana mgombea wenu huwa anawasema vibayaWana uwezo gani wa kutuzuia?
Wana nini wao Kama Nani ? Tena hatukai mita mia tunakaa nje ya kituo mpaka kieleweke.
Yaani tukiamka tarehe 28 asubuhi haturudi ndani mpaka Lissu atangazwe ..
Sheria inasema watu wanaweza kukaa mita mia halafu wenyewe wanaleta bla bla..
Wajaribu kuzuia nguvu ya umma mwaka huu waone Kama wataweza mwaka huu hatuna mchezo kabisa na uchaguzi..
Ahahhha,tutaona sasa si mnasema mpo wengi zaidi ya askari polisi na ikibidi tutatumia jeshi maana mmehamasishwa na kibaraka mabaye yeye ana pasport mbili tayari, anzeni muone kuwa polisi wa Tanzania sio watu wa kuchezewachezewa na kutukanwa na tena tuna wana hasira maana mgombea wenu huwa anawasema vibaya
Mkuu..Vyovyote vile tutalinda kura
Ahahhh,tutalinda nenda katusemee kwa PolepoleMkuu..
Mna Haki Hiyo...Swali Ni Je Mnalindaje Kwa Kuwakwaza Wapiga Kura Wengine Ambao Hawajapiga Kura,Huoni Kutakuwa na mazingira ya ukosefu Utulivu kuelekea Vituoni?!!
Hebu Fikiri Watahiniwa Wa Mitihani Ya NECTA Ambao wanamaliza Mitihani haraka na kutoka vyumba Vya Mitihani kabla ya wenzao na kabla ya muda wa kufanya Mitihani kumalizika,waamue kujazana Nje ya vyumba hivyo...
Tafakari.
Mwaka huu NEC wataumbuka! Salama yao ni kuhamisha vituo. Kila kituo tayari kina miniature CCTV camera...Nilitegemea NEC wasema hawana mpango wa kudhulumu kura za mgombea yeyote.
..Kwamba wana uhakika na hilo, na hawana wasiwasi na yeyote yule, hata anayetaka kuchungulia ktk madirisha ya kituo cha kura.
Hicho kiwanja utakachokaa ni cha baba yako au mama yako? ni eneo lenu mnamiliki mna hati miliki yake?Mimi nitakaa mita 100 kusubiria matokeo. Ni haki yangu.
Unaumaliza mtihani wako wa necta na kutojazana nje ya chumba Cha Mitihani kuzilinda karatasi zako,sembuse tuna wakala Wetu waaminifu wakizilinda Kura zetu humo ndani...Hawa jamaa sijui kwann wana wasiwasi kiasi hiki,watuache tulinde kura zetu eboooo
Halafu anapima mita mia inaangukia kwenye kiwanja cha nyumba yangu anasema hapa nitakaa kwa nguvu kitakachomkuta awe kaaga kabisa kwao kurudi miguu hana au makalio hanaNa uwe na vipimo kabisa vya hizo meter 101 mkononi😁