Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Nyuma ninayoishi iko mita tano kutoka kituo cha kupigia kura. Je, niihamishe?Sawa,tutakaa mita 150 au 200 kabisa ila suala la kusubiri matokeo yetu lipo pale pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyuma ninayoishi iko mita tano kutoka kituo cha kupigia kura. Je, niihamishe?Sawa,tutakaa mita 150 au 200 kabisa ila suala la kusubiri matokeo yetu lipo pale pale
Wacha waandamane tuu 4 7mbatizaji sisi kazi yetu ni ya tarehe 28 Oct, baada ya hapo tutaemdelea kua hapahapa jamiiforums tukipongezana na kupeana poleMkuu nimecheka Sana kwamba tarehe 28 tunatoka tumekula chakula Cha siku tatu,maana hakuna Rudi nyumbani,mwaka huu kazi sio ndogo ni pevu kweli
Utapata wageni wengi sana toka hapa jamiiforums😁😁😁😁Nyuma ninayoishi iko mita tano kutoka kituo cha kupigia kura. Je, niihamishe?
Wewe unaangukia kundi la wale wanaoambiwa ukipiga kura nenda nyumbani kwako .Nyuma ninayoishi iko mita tano kutoka kituo cha kupigia kura. Je, niihamishe?
Vyovyote viTume ya uchaguzi sio huru, haiaminiki. Inatunga kanuni zinazokinzana na Sheria. Kituo kina mipaka, 100m ni umbali tosha. Ni wazi kuna kusubiriana, hoja ya piga kura ondoka ielezwe ni kifungu gani cha Sheria, na kama ipo ni ya kusaidia kuingiza kura za wizi.
Huu siyo mtihani bana ni kuchagua vingozi kwaajili ya maisha yetuMkuu..
Mna Haki Hiyo...Swali Ni Je Mnalindaje Kwa Kuwakwaza Wapiga Kura Wengine Ambao Hawajapiga Kura,Huoni Kutakuwa na mazingira ya ukosefu Utulivu kuelekea Vituoni?!!
Hebu Fikiri Watahiniwa Wa Mitihani Ya NECTA Ambao wanamaliza Mitihani haraka na kutoka vyumba Vya Mitihani kabla ya wenzao na kabla ya muda wa kufanya Mitihani kumalizika,waamue kujazana Nje ya vyumba hivyo...
Tafak
Wacha waandamane tuu 4 7mbatizaji sisi kazi yetu ni ya tarehe 28 Oct, baada ya hapo tutaemdelea kua hapahapa jamiiforums tukipongezana na kupeana ppo
Mimi nasema haki ,haki ,haki lazima ifuate mkondo wake ,hatutaki ubabaishaji wa kutuletea vurugu,na sioni ubaya wowote kwa chadema,ccm au chama chochote kulinda kura,ubaya ni vurugu na tume Kama itafanya Kila kitu kwa mjibu wa kanuni zao ,naamini hakuna fujo yoyote yaweza tokea, tatizo pale wakiamua kufanya kilichotofauti ,matatizo yaweza anzia hapo,tulipo fika Kila mtu ababe mzigo wake,nchi Kwanza ,pinda pinda kwa tume waache Mara moja haiwezi tupeleka sehem salamaWacha waandamane tuu 4 7mbatizaji sisi kazi yetu ni ya tarehe 28 Oct, baada ya hapo tutaemdelea kua hapahapa jamiiforums tukipongezana na kupeana pole
Umesema sawasawa mkuu, ndio maana tume wameruhusu kila chama kuweka mawakala wake ili kulinda kura na kuondokana na fujoMimi nasema haki ,haki ,haki lazima ifuate mkondo wake ,hatutaki ubabaishaji wa kutuletea vurugu,na sioni ubaya wowote kwa chadema,ccm au chama chochote kulinda kura,ubaya ni vurugu na tume Kama itafanya Kila kitu kwa mjibu wa kanuni zao ,naamini hakuna fujo yoyote yaweza tokea, tatizo pale wakiamua kufanya kilichotofauti ,matatizo yaweza anzia hapo,tulipo fika Kila mtu ababe mzigo wake,nchi Kwanza ,pinda pinda kwa tume waache Mara moja haiwezi tupeleka sehem salama
Ni kununua ile ya kujengea nyumba ya kuzungusha na ringiNa uwe na vipimo kabisa vya hizo meter 101 mkononi😁
Ndiyo faida ya kuwa na askari jamiisisi ni askari jamii lazima tulinde kura.
Mkuu kitakacho leta fujo Wala sio kukaa mita Mia ,kitakacholeta fujo ni wasimami kwa kutotii kanuni na sheria za uchaguzi,na kubwa zaidi kushindwa mtangaza mshindi halali fuul stop,ila mfano kura zimepigwa zimeesabiwa kwa uwazi,hakuna figisu za mawakala kuanzia kuhapishwa,kutozuiliwa kuingia vituon, fujo itatoka wapi ,Kuna kushindwa na kushinda Kama ni kwa njia halali shida ipo wapi?Umesema sawasawa mkuu, ndio maana tume wameruhusu kila chama kuweka mawakala wake ili kulinda kura na kuondokana na fujo
Hii ya kusema kila mtu anayepiga kura abaki nje ya kituo cha kura akilinda kura ndio fujo itakapoanzia. Hadi najiuliza kwanini vyama pinzani havina imani na mawakala wao?
Sawa key board warriorWana uwezo gani wa kutuzuia?
Wana nini wao Kama Nani ? Tena hatukai mita mia tunakaa nje ya kituo mpaka kieleweke.
Yaani tukiamka tarehe 28 asubuhi haturudi ndani mpaka Lissu atangazwe ..
Sheria inasema watu wanaweza kukaa mita mia halafu wenyewe wanaleta bla bla..
Wajaribu kuzuia nguvu ya umma mwaka huu waone Kama wataweza mwaka huu hatuna mchezo kabisa na uchaguzi..
hiyo ni siku ya kupiga kura tukio muhimu sana kwa miaka mi5Mita 200 Ni Sawa Na Viwanja Viwili Vya Mpira Wa Miguu na Ni mbali na Vituo...
Kwani Kujikusanya Watu Zaidi Ya 500 Huoni Kuwa Ni Mkutano Usio Na Kibali?!!
Ikumbukwe Siku Hiyo Maduka Na Shughuli Nyingine Binafsi Zitakuwa Zinaendelea,Je Huoni Mikusanyiko Mikubwa Mbele Ya Shughuli Hizo Halali Ni Kuleta Sintofahamu Dhidi Yao?!!
Mita 200 nyingi sana bwashee. huwezi kuona kinachoendelea, labda mtengeneze circle kuzunguka eneo loteSawa,tutakaa mita 150 au 200 kabisa ila suala la kusubiri matokeo yetu lipo pale pale
Habar Mnama,kwa mazingira yetu ukisema uhesabu hizo mita mia unajikuta upo kwenye makaz ya watu kiusalama sidhan km Kuna mtu atakayekubal aone kund la watu lipo pembezon mwa nyumba yake kwa kigezo cha kulinda kura.Wana uwezo gani wa kutuzuia?
Wana nini wao Kama Nani ? Tena hatukai mita mia tunakaa nje ya kituo mpaka kieleweke.
Yaani tukiamka tarehe 28 asubuhi haturudi ndani mpaka Lissu atangazwe ..
Sheria inasema watu wanaweza kukaa mita mia halafu wenyewe wanaleta bla bla..
Wajaribu kuzuia nguvu ya umma mwaka huu waone Kama wataweza mwaka huu hatuna mchezo kabisa na uchaguzi..
Nec wanapnyesha dalili mbaya na hatarishi kwa afya ya uchaguzi huuTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kukaa mita 100, kusubiri matokeo ya uchaguzi.
Badala yake NEC imeelekeza kuwa kila mpiga kura anayekwenda kupiga kura kituoni, baada ya kukamilisha shughuli hiyo arudi nyumbani.
Hayo yalielezwa na Ofisa elimu kitengo cha mpigakura, Nuru Liwa, katika mkutano wa kuijengea uwezo Klabu ya Waandishi wa Habari wa Dar es Salaam (DCPC).
Liwa alisema ni kosa la jinai kukiuka utaratibu uliowekwa na NEC siku ya kupiga kura na kabla ya kupiga kura na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wote watakao kiuka sheria
Mpigakura unatakiwa kufika kituoni katika muda uliotapangwa na NEC na muda wa kupiga kura ukiiisha hakuna mtu mwingine atakayeruhusiwa kupiga kura, lakini ikitokea muda umeisha na wapiga kura wapo katika mstari, askari wa kituo husika atatakiwa kusimama nyuma ya mtu wa mwisho hadi wale waliokuwa katika mstari wamalizike kupiga kura,” alisema Liwa.
Mbali na kutoruhusu mtu yoyote kukaa mita 100 kutoka katika kituo husika, pia NEC imetahadharisha watu kutokuchana orodha ya wapiga kura pamoja na mabango yanayoelezea elimu kwa mpiga kura yaliyopo katika vituo vya kupigia kura.
“Kuchana mabango yaliyobandikwa katika vituo vya kupigia kura ni kosa, hivyo wananchi wajiepushe na jambo hilo, na wananchi wanatakiwa kufuata taratibu zilizowekwa katika siku ya kupiga kura ili kuepuka kuvunja sheria,” alisema Liwa.
Suala hilo liliibua mvutano katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hadi likafikishwa kortini ambapo Mahakama Kuu iliamuru kuwa si ruhusu watu kukaaa mita 100 kutoka kituo cha kupigia kura.
Awali, Mwenyekiti wa Klabu ya DCPC, Irene Mark aliwataka waandishi wa habari kutumia taaluma yao kuhabarisha jamii badala kupotosha umma.
“Nawaomba wanahabari wenzangu, tutumie kalamu zetu vizuri kwa ajili ya kuelimisha umma, si katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, bali wakati wote kwa sababu waandishi ndio masikio ya jamii,” alisema Mark.
Katika hatua nyingine, Mkuu wa Kitengo cha usimamizi na utekelezaji wa Sheria na masharti ya leseni, kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini(TCRA), Dk Philip Filikunjombe amewataka waandishi wa kuisoma vizuri sheria ya maudhui ya vyombo vya habari ili waweze kuelimisha jamii wakati wa uchaguzi.
Alisema kama mwanahabari ataielewe vizuri sheria hiyo, itamsaidia katika utendaji kazi wake.
Akizungumzia ukubwa wa tatizo la watu kutumia vibaya mitandao ya kijamii, Dk Filikunjombe alisema, wanawake wanaongoza kwa kudhalilishwa mitandaoni kutokana na kuruhusu kupiga au kupigwa picha zenye utata na wapenzi wao ambao kuzituma mitandaoni.
Alisema TCRA, imekuwa ikipokea kesi nyingi za namna hiyo, nyingi zinawahusu wanawake kudhalilishwa mitandaoni kwa sababu wao ni wachangiaji wakubwa wa masuala binafsi mtandaoni.
Ni kweli mita 100 hairuhusiwi sisi tutakaa mita 200 iliyopo kisheria. Mbona wanaweweseka.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kukaa mita 100, kusubiri matokeo ya uchaguzi.

Wamenunuliwa wabunge, madiwani sembuse wakala? Mwaka huu inadiwa CCM na kivuli chake anakiogopa!Wakala wa chama mliyemuweka kazi yake nini?