Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Natumaini vyombo vyetu vya ulinzi vitakuwepo kwenye vituo vyote na kushiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura na kupiga kipigo cha mbwa koko wale wote watakao kiuka sheria na taratibu za uchaguzi
 
Wasubutu waone, tutawapa kipigo cha kufa mtu, polisi hawatutishi aisee, tutawaonyesha kwamba nguvu ya wananchi ni kitu kingine
 
Ni lazima nikae kusubiri matokeo kura yangu haijawa uchafu kuja kuitupa jalalani na kuondoka lazima niisubilie kupata matoke ya kura yangu haiwezekani niwaletee kura yangu afu Mnifukuze hiyo ni big NO
 
Wasubutu waone, tutawapa kipigo cha kufa mtu, polisi hawatutishi aisee, tutawaonyesha kwamba nguvu ya wananchi ni kitu kingine
Jidanganye tu, ukishavunjwa miguu halafu yule unayejifanya unamlindia kura yako atakapoamua kuunga mkono juhudi ndio utaelewa kwanini wahenga walisema majuto ni mjukuu
 
Jidanganye tu, ukishavunjwa miguu halafu yule unayejifanya unamlindia kura yako atakapoamua kuunga mkono juhudi ndio utaelewa kwanini wahenga walisema majuto ni mjukuu
Mataga huwa hamjiamini, mimi ni mwanaume bro, hao polisi ntavunja mmoja mguu kabla yeye hajanivunja
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kukaa mita 100, kusubiri matokeo ya uchaguzi.

Badala yake NEC imeelekeza kuwa kila mpiga kura anayekwenda kupiga kura kituoni, baada ya kukamilisha shughuli hiyo arudi nyumbani.

Hayo yalielezwa na Ofisa elimu kitengo cha mpigakura, Nuru Liwa, katika mkutano wa kuijengea uwezo Klabu ya Waandishi wa Habari wa Dar es Salaam (DCPC).

Liwa alisema ni kosa la jinai kukiuka utaratibu uliowekwa na NEC siku ya kupiga kura na kabla ya kupiga kura na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wote watakao kiuka sheria

Mpigakura unatakiwa kufika kituoni katika muda uliotapangwa na NEC na muda wa kupiga kura ukiiisha hakuna mtu mwingine atakayeruhusiwa kupiga kura, lakini ikitokea muda umeisha na wapiga kura wapo katika mstari, askari wa kituo husika atatakiwa kusimama nyuma ya mtu wa mwisho hadi wale waliokuwa katika mstari wamalizike kupiga kura,” alisema Liwa.

Mbali na kutoruhusu mtu yoyote kukaa mita 100 kutoka katika kituo husika, pia NEC imetahadharisha watu kutokuchana orodha ya wapiga kura pamoja na mabango yanayoelezea elimu kwa mpiga kura yaliyopo katika vituo vya kupigia kura.

“Kuchana mabango yaliyobandikwa katika vituo vya kupigia kura ni kosa, hivyo wananchi wajiepushe na jambo hilo, na wananchi wanatakiwa kufuata taratibu zilizowekwa katika siku ya kupiga kura ili kuepuka kuvunja sheria,” alisema Liwa.

Suala hilo liliibua mvutano katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hadi likafikishwa kortini ambapo Mahakama Kuu iliamuru kuwa si ruhusu watu kukaaa mita 100 kutoka kituo cha kupigia kura.
Awali, Mwenyekiti wa Klabu ya DCPC, Irene Mark aliwataka waandishi wa habari kutumia taaluma yao kuhabarisha jamii badala kupotosha umma.

“Nawaomba wanahabari wenzangu, tutumie kalamu zetu vizuri kwa ajili ya kuelimisha umma, si katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, bali wakati wote kwa sababu waandishi ndio masikio ya jamii,” alisema Mark.

Katika hatua nyingine, Mkuu wa Kitengo cha usimamizi na utekelezaji wa Sheria na masharti ya leseni, kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini(TCRA), Dk Philip Filikunjombe amewataka waandishi wa kuisoma vizuri sheria ya maudhui ya vyombo vya habari ili waweze kuelimisha jamii wakati wa uchaguzi.

Alisema kama mwanahabari ataielewe vizuri sheria hiyo, itamsaidia katika utendaji kazi wake.

Akizungumzia ukubwa wa tatizo la watu kutumia vibaya mitandao ya kijamii, Dk Filikunjombe alisema, wanawake wanaongoza kwa kudhalilishwa mitandaoni kutokana na kuruhusu kupiga au kupigwa picha zenye utata na wapenzi wao ambao kuzituma mitandaoni.

Alisema TCRA, imekuwa ikipokea kesi nyingi za namna hiyo, nyingi zinawahusu wanawake kudhalilishwa mitandaoni kwa sababu wao ni wachangiaji wakubwa wa masuala binafsi mtandaoni.
Maslahi ya Taifa letu kwa kizazi cha sasa na Cha baadae ni muhimu kuliko maslahi ya watu wachache wanaotaka madaraka kwa maslahi ya wenye nia ya kupora Rasilimali zetu,Tuwakatae Wasaliti"....☠.

TUMCHAGUE MZALENDO DR.MAGUFULI.✅#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
 
Ata Kama uta kaamita mia, ivi utabadili kitu gani, mita miamoja huna unaloweza kufanya kwakua hutaona chochote kinacho fanyika. NEC hawataki watu kituoni kuepuka vurugu sasa Kama wpligakura wote wa vyama vyote waki kaa kituoni si itakua vurugu? Kama aumwamini wakala anaye simamia kura zako ulimweka wa Nini?
 
Jidanganye tu, ukishavunjwa miguu halafu yule unayejifanya unamlindia kura yako atakapoamua kuunga mkono juhudi ndio utaelewa kwanini wahenga walisema majuto ni mjukuu
Bora kufa kabisa ili nitoeke duniani kuliko kuliko kuchukua haki yangu we wasemea kuvunjika mm nimejitoa kafara afu siku hiyo nakua na bonge ya mbisu polisi ukija vibaya nalala nawew salaama
 
Natumaini vyombo vyetu vya ulinzi vitakuwepo kwenye vituo vyote na kushiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura na kupiga kipigo cha mbwa koko wale wote watakao kiuka sheria na taratibu za uchaguzi
We mbwa jidanganye kinacho endelea Nigeria sasa hata tz kita happen 28/10 tunataka haki itendeke
 
Hakuna kurudi nyuma mkuu mimi nimeenda kujipiga msasa kidogo kuanzia kwenye kon fu, na mbinu zingine za kukabiliana na hawa mbwa koko hata wakitumia mabomu ya machozi lazima nilale mbele na mmoja
Maji lita 5 lazima niwe nayo, wanafikiri ninatania kituo changu cha kupigia kura kipo hapo chuo cha uhasibu TIA kurasini.karibuni sana tulinde kura zetu this time haki bin haki!
 
Bora kufa kabisa ili nitoeke duniani kuliko kuliko kuchukua haki yangu we wasemea kuvunjika mm nimejitoa kafara afu siku hiyo nakua na bonge ya mbisu polisi ukija vibaya nalala nawew salaama
Hawa mataga ni bure kabisa, wengi ni wachumia tumbo, wazee wetu walipopigania uhuru walikua tayari kufa pasipo kujali, sasa vijana wa kile.wanatia mashaka sana,
 
"Sitoshiriki kuharibu AMANI ya Taifa langu wala kurudisha nyuma Maendeleo kwa KUWEKA REAHANI RASILIMALI ZETU
~Nitamchagua MAGUFULI"

#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Kukaa 100m ni kosa la jinai kwa mujibu wa kifungu kipi cha sheria ya uchaguzi? Mbona hawa ni wababaishaji kama yule bosi aliyesema mapingamizi ya Lissu dhidi ya mgombea fulani kipindi kile alipokuja na kusema mapingamizi hayana msingi wowote wa kisheria bila hata kuitaja sheria aliyoegemea? Hawa walisoma wapi sheria?
Waache watuletee ushenzi wao tumeichoka ccm
 
Maji lita 5 lazima niwe nayo, wanafikiri ninatania kituo changu cha kupigia kura kipo hapo chuo cha uhasibu TIA kurasini.karibuni sana tulinde kura zetu this time haki bin haki!
Mkuu mimi nimejiandaa vya kutosha, nimemuachia mpaka mke wangu password zangu zote, na document za muhimu, huu ni uchaguzi wa kufa na kupona, hawa polisi i swear wakijaribu kutuletea ujinga ntalala mbele na mmoja, na uzuri ni kwamba mwananchi mmoja akilianzisha basi mchezo umekwisha
 
Back
Top Bottom