Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kweli kabisaMkuu hata wana ccm wenyewe watatuunga mkono kumuondoa huyu uchwara maana waoe wenyewe wamenyanyasika kwa namna moja ua nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaMkuu hata wana ccm wenyewe watatuunga mkono kumuondoa huyu uchwara maana waoe wenyewe wamenyanyasika kwa namna moja ua nyingine
Hautakuwa peke yako mkuu. Tunachotaka ni haki.Mimi nitakaa mita 100 kusubiria matokeo. Ni haki yangu.
Wanionyeshe sheria inayosema, piga kura alafu urudi nyumbani
Huu ni mwaka 2020, una deal na Watanzania wanaotaka kumuondoa dikteta muuaji. Hawatagopa hivyo vitisho.Uchaguzi uliopita ulikuepo?
Kama ulikuepo uliambiwa ufanyaje baada ya kupiga kura?
Hahahha.... Unafikiri kuna kitu watakufanya basi!Mimi nawaambia sio keyboard warrior! Ikibidi sijui nitume na kitambusho changu cha kura mataga wanijue mapema!maana wanafikiri tunaongea humu tu vitendo hatuna, round hii sijajua, maana wanamsemo wao wanasema hawa ni keyboards warriors!! Mungu nipe uhai.
Mkipigwa virungu, msimwitwe yule wakili AmsterdamWana uwezo gani wa kutuzuia?
Wana nini wao Kama Nani ? Tena hatukai mita mia tunakaa nje ya kituo mpaka kieleweke.
Yaani tukiamka tarehe 28 asubuhi haturudi ndani mpaka Lissu atangazwe ..
Sheria inasema watu wanaweza kukaa mita mia halafu wenyewe wanaleta bla bla..
Wajaribu kuzuia nguvu ya umma mwaka huu waone Kama wataweza mwaka huu hatuna mchezo kabisa na uchaguzi..
unaomba wa kukuwekea dhamana unajuaje kama utakuwa hai na kuwahi kufikishwa kituo cha polisi ukiwa hai?kwangu mmenoa @ John Mallya jiandae kuja kuniwekea dhamana Mimi Francis John Njewike mpiga kura kituo cha uhasibu kurasini.Maana kuficha majina nayo ni udhaifu mataga muende TIA nipo ninapiga kura na kulinda kura yangu.
Toni kituochenu kipoumbali wa 80m na nyumba yangu,na mimi ninagrocerywatu wana pata kilaji nasfungiWana uwezo gani wa kutuzuia?
Wana nini wao Kama Nani ? Tena hatukai mita mia tunakaa nje ya kituo mpaka kieleweke.
Yaani tukiamka tarehe 28 asubuhi haturudi ndani mpaka Lissu atangazwe ..
Sheria inasema watu wanaweza kukaa mita mia halafu wenyewe wanaleta bla bla..
Wajaribu kuzuia nguvu ya umma mwaka huu waone Kama wataweza mwaka huu hatuna mchezo kabisa na uchaguzi..
Na hiyo mita 100 ukiihesabu unaipata ndan ya kambi ya jw sijui tunamsaidiaje huyu komredunaomba wa kukuwekea dhamana unajuaje kama utakuwa hai na kuwahi kufikishwa kituo cha polisi ukiwa hai?
Hapo TIA si mnatazamana tu na kambi ya JWTZ? UNAYEMTISHIA NYAU NANI HASA?
Ni kina nani hao unaowaongelea kuwa mtakaa nje ya kituo?Wana uwezo gani wa kutuzuia?
Wana nini wao Kama Nani ? Tena hatukai mita mia tunakaa nje ya kituo mpaka kieleweke.
Yaani tukiamka tarehe 28 asubuhi haturudi ndani mpaka Lissu atangazwe ..
Sheria inasema watu wanaweza kukaa mita mia halafu wenyewe wanaleta bla bla..
Wajaribu kuzuia nguvu ya umma mwaka huu waone Kama wataweza mwaka huu hatuna mchezo kabisa na uchaguzi..
Kwa hiyo wewe ni mfu😎😎😎Huu ni mwaka 2020, una deal na Watanzania wanaotaka kumuongoza sisters muuaji. Hawataigopa hivyo vitisho.
Hakuna mtu anaogopa kufa kwa vile wote mwishowe tutakufa. Isitoshe kuwa hai kwenye utawala wa Magu sawa na kuwa mfu tu. Maisha hayana raha
Kura zetu eti tusiwe HURU wa kuzilinda.Tume ya uchaguzi sio huru, haiaminiki. Inatunga kanuni zinazokinzana na Sheria. Kituo kina mipaka, 100m ni umbali tosha. Ni wazi kuna kusubiriana, hoja ya piga kura ondoka ielezwe ni kifungu gani cha Sheria, na kama ipo ni ya kusaidia kuingiza kura za wizi.
Sisi waTz tuliyopiga kura.Ni kina nani hao unaowaongelea kuwa mtakaa nje ya kituo?