Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 NEC: Hatutaruhusu mtu kukaa mita 100 kusubiri matokeo ya uchaguzi

Mara hii hatukubali kuibiwa kiboya..... Nyie tume si mmeambiwa na magufuli msitangaze wapinzani?
 
Hivi kama kuna mtu ana muda wake wa kupoteza na akaamua akae meter 101 kutoka polling station atakuwa ametenda kosa gani na kuvunja sheria ipi?

Au na wale wanaokaa kwenye nyumba zilizo kwenye radius ya meter 100 kutoka kituoni nao hawaruhusiwi kukaa ndani mwao siku hiyo?

Angalizo kwa wale wenye plan ya kulinda kura: as long as mawakala kule ndani wamelainika (kwa vipande vya fedha au vitisho) haisaidii chochote kulinda hizo kura ukiwa nje tena umbali wa 100m!
 
Kura Italindwa na wanaume wenye uniform wavulana wote na magwanda yao watakuwa wa kwanza kujifungia kama kawaida yao.
 
Kwa hiyo wewe ni mfu😎😎😎
Riep Huihui2
Hata wewe ni mfu tu kwa maisha haya ya awamu ya 5. Hata uhuru ambao Nyerere aliudai mwaka 1961 hauna maana. Tunaishi nchini kwetu kama watumwa?? WHY ?? Magufuli must go
 
Hata wewe ni mfu tu kwa maisha haya ya awamu ya 5. Hata uhuru ambao Nyerere aliudai mwaka 1961 hauna maana. Tunaishi nchini kwetu kama watumwa?? WHY ?? Magufuli must go
Mwenzio niko hai Nasubiri 5 tena za John Pombe Joseph Magufuli. Mimi sio mfu kama wewe uliyekiri kwa kinywa chako kwamba ni mfu
 
Mwenzio niko hai Nasubiri 5 tena za John Pombe Joseph Magufuli. Mimi sio mfu kama wewe uliyekiri kwa kinywa chako kwamba ni mfu
Kam utampigia Pombe basi wewe na wenzio ni misukule
 
Hakuna kurudi nyuma mkuu mimi nimeenda kujipiga msasa kidogo kuanzia kwenye kon fu, na mbinu zingine za kukabiliana na hawa mbwa koko hata wakitumia mabomu ya machozi lazima nilale mbele na mmoja
Nyuma ya keyboard hadi Mayweather hafui dafu kwa wengi wenu
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kukaa mita 100, kusubiri matokeo ya uchaguzi.

Badala yake NEC imeelekeza kuwa kila mpiga kura anayekwenda kupiga kura kituoni, baada ya kukamilisha shughuli hiyo arudi nyumbani.
Hawa wanatafuta nafasi ya kupenyeza kura feki na masanduku ya kura feki
 
Wana uwezo gani wa kutuzuia?

Wana nini wao Kama Nani ? Tena hatukai mita mia tunakaa nje ya kituo mpaka kieleweke.

Yaani tukiamka tarehe 28 asubuhi haturudi ndani mpaka Lissu atangazwe ..

Sheria inasema watu wanaweza kukaa mita mia halafu wenyewe wanaleta bla bla..

Wajaribu kuzuia nguvu ya umma mwaka huu waone Kama wataweza mwaka huu hatuna mchezo kabisa na uchaguzi..
Unavimba ukiwa kwenye keyboard.
 
Mkuu kitakacho leta fujo Wala sio kukaa mita Mia ,kitakacholeta fujo ni wasimami kwa kutotii kanuni na sheria za uchaguzi,na kubwa zaidi kushindwa mtangaza mshindi halali fuul stop,ila mfano kura zimepigwa zimeesabiwa kwa uwazi,hakuna figisu za mawakala kuanzia kuhapishwa,kutozuiliwa kuingia vituon, fujo itatoka wapi ,Kuna kushindwa na kushinda Kama ni kwa njia halali shida ipo wapi?
NEC na CCM ndiyo kitakuwa chanzo cha vurugu wametunga sheria fikirishi huu ni uchaguzi siri ya nini
 
Back
Top Bottom