Uchaguzi 2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

Uchaguzi 2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

Hivi TBC ni Tv ya CCM au ya umma?

Hivi inakuwaje pesa za walipa kodi zinafanya mambo ya chama tawala tu inashindwa kufanya mambo ya vyama vingine...

Huu ndio uhuni anaousema Tundu Lissu Kila siku.

Pesa za umma kutumika pasipo ridhaa ya Wananchi.
Lipia tu itakuonesha mwanzo mwisho. Hata CCM wamelipia hiyo live coverage.
 
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.

M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mama Samia Suluhu kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia CCM na kukabidhiwa seti za fomu na nyaraka muhimu kuwa kumbukumbu kwao.
Ni jambo jema
 
Ukweli ni kwamba mabaya ni mengi kuliko mema yalofanywa na serikali ya awamu ya tano.

Hatufurahii maisha. Ni kama enzi zilee za ukoloni was wajerumani.

..Polis wanabambikia kesi raia hakuna anaye jali, Raisi kimyaa

.. Uhuru wetu wa kuchagua na kuchaguliwa haupo tena watu wanatekwa , Raisi kimyaa!

.. Ndugu zetu wengi wametekwa na pengine wameuawa, imebaki majonzi kwa ndugu wa karibu. Rais yuko kimyaa hana shida na usalama wa raia kwenye inchi anayoongoza

Rais wa ccm hajapandisha madaraja waajiriwa , halipi areas , hajaajili na hajali kitu.

Wakati ni huu 2020 October tumpumzishe mgombea wa ccm maana yeye cha mhimu ni miundo mbinu tu na si raia
 
Jiwe kama anachungulia huu uzi wake na akichungulia ule wa Lisu, Mke leo akimgusa tu anakula makofi
 
Magufuli ajitoe tu Kwenye Uchaguzi wa mwaka huu sababu hatashinda Uchaguzi na akilazimisha Nchi itaingia katika machafuko ya kisiasa na hatimae waburuzwe mahakamani kwa uhalifu dhidi ya binadam.
Mwaka huu wakiiba kura tu nitahakikisha kabla sijafa mimi nimekata vichwa siyo chini ya 20 vya nzi wa kijani!
 
Hongera Sana Dr.

Safari ya kuanza awamu ya pili ndio imeshika Kasi.
 
Yapo mambo umeyatenda vizuri katika kutimiza wajibu wako, lakini pia yapo mengi hakika umeharibu sana na kikatiba na kidemokrasia tunapaswa kukuachisha kazi na kuajiri mwingine na sio dhambi.

Uchaguzi mkuu huu ndio wakati muafaka wa kukushukuru kwa hayo machache uliyofanya kwa maendeleo ya vitu na kuacha ya watu lakini pia tutakuachisha kazi na kumuajiri Lissu ili airudishe nchi katika haki na furaha.

Atatuondolea rushwa ambayo awamu ya tano imekuwa jambo LA kawaida kama chumvi kwenye mboga. Tunataka nchi yetu irudi kwenye heshima nje ya mipaka sio kuishi kwa FIX kama sasa.
 
Miaka 10 ya JK ilitosha maendeleo ya watu...Magu atupige 10 ya vitu.

Kisha aje mwingine kama JK...naye apige 10.
 
Back
Top Bottom