Uchaguzi 2020 NEC kama 'mlivyoonekana' leo basi naomba tarehe 8, August 2020 Lissu akija hapo niyaone pia haya yafuatayo...

Usimfananishe Magufuli na msaliti wa nchi
 
leo wamelazimika kuwepo kwa kuwa visitor wao ndiye mteuzi (bosi) wao.
Lissu atakuwa bosi wao from November... na wote hao watafurushwa kurudi kijijini the day Lissu katinga Magogoni.
 
Ila NEC wanalipana vizuri.
Sidhani kama kuna taasisi nono kama NEC.
Ngoja nifanye mpango nihamie huko.
 
Siku hiyo NEC watakuwa kwenye maonyesho ya nane nane so Lissu atapokelewa na walinzi wa UCHAGUZI HOUSE
 
Na NEC wana siku mbili zaid ya kurekebisha mapungufu yoyote kama zipo zilizojitokeza leo! Bila shaka ushauri wa GENTAMYCINE utatendewa haki
 
Gentamycine, hii ni Africa ambako utaambiwa kuna haki sawa. Kumbe ni kinyume chake.

Wewe unapotamani hayo , Mimi natamani WaTz wajielewe
 
Umesahau vile vyombo vya habari ambavyo kwa mwaka huu wa 2020 vimekuwa 'poorblanded' ambapo Lissu akiongea sauti wanaondoa
 

Bila picha wengine tunachelewa kuelewa.

πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Hiyo siku NEC watafunga ofisi kwa kisingizio ni siku kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…