Uchaguzi 2020 NEC kama 'mlivyoonekana' leo basi naomba tarehe 8, August 2020 Lissu akija hapo niyaone pia haya yafuatayo...

Usiwasemee Mkuu ngoja tuone na bahati nzuri tu ni kwamba tarehe 8, August 2020 siyo mbali na ni Keshokutwa huku yamebaki Masaa machache.
Siwasemei Pot bali naeleza hayo kutokana na yale niliyoona wakati wagombea wengine walipokuwa wakichukua fomu. Hata hivyo nakubaliana na wewe TUSUBIRI hiyo 08/08/2020.
 
Unafananisha mapokezi ya mgombea ambae ni rais na mgombea ambae ni mwananchi tu ?😳💤
 
Na warushe matangazo TBC kama leo
 
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo

GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Lissu anaweza kukuta ofisi imefungwa....ha ha ha au akakuta mhudumu kavaa dera akampa form....
Waandishi wote kuzuiwa getini...

Hii ndiyo Tanzania bana; kila kitu kinawezekana ...why not.

Lakini sisi tunajua siasa haya ndiyo mambo muhimu sana yanayompa mtahiniwa marks zaidi.
 
Bado tunayosafari ndefu Sana,

Naona makabila tu yametajwa hapa.
 
Sema tu jamaa kibri. Wakimpokea vizuri Lissu next day mkurugenzi wa NEC atawekwa benchi bila aibu.
Kwanza apo uyo Lissu aombe amkute huyo jamaa mwenyewe ofisini, hii mijamaa mimafia haieleweki.

Unaeza kuambiwa hawapo wanakagua miradi ya aina mpya ya samaki huko makutupora na hombolo siku hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo

GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Nina wasiwasi tarehe 8 itakuwa jmosi ambayo siyo siku ya kazi hivyo ofisi zitakuwa zimefungwa,

Kuna hakimu kule singida kawaweka ndani viongozi wa chadema. bila dhama alafu kalazimishwa aende sick leave
 
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo

GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Magufuli ameenda kuchukua form akiwa na kofia ya Urais,
Lissu ataenda pale hakiwa hana nyota yoyote, .

Usitegemee kwenye ya shithole kama hii Rais apewe uwanja sawa na mpinzani.
Never never
Ladba likatiba la sasa libadilishwe
 
Kwahiyo Ni Bora tusishiriki tu na huu uchaguzi Kama tulivyo Fanya kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa Siyo?
Maana sababu kuu haijapata utatuzi nayo Ni kutokuwepo tume huru.

Na sie wengine tunashangaa kitu hicho kwani sababu zile bado zipo tena na zingine zimeongezeka
 
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo

GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.

Wazungu wanasema "Let us keep our fingers crossed"!

Wanaweza kupata kisingizio kuwa jumamosi sio siku ya kazi au wamekwenda kwenye maadhimisho ya sikukuu ya nane nane!
 
Kwanza apo uyo Lissu aombe amkute huyo jamaa mwenyewe ofisini, hii mijamaa mimafia haieleweki.

Unaeza kuambiwa hawapo wanakagua miradi ya aina mpya ya samaki huko makutupora na hombolo siku hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaaa.
Hebu siku ifike tuone vituko
 
How if ungeteuliwa uwe mmoja wao? Nahisi ungempiga mzee busu kabisa
 
Akija na form hatumpi... na tukimpa siku yakurudisha tunajificha na ofisi tunafunga...
 
Tahadhari hiyo tar 8 kwenda Dodoma, Mwendo usiwe mkali sana maana kuna ajali za kutengenezwa , Kikosi kazi chote kipo idodomya kwahiyo umakini/ulinzi kwa lissu unatakiwa uwe mkubwa!! Kama shughuli zikiisha mapema ni vyema kutolala dodoma ni kuondoka siku hiyo hiyo na kwenda kulala sehemu nyingine.
 
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo

GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Sema tu usipoyaona hayo basi JPM hutampa kura yako! Fulustopu!
 
Hivi kuna Mwana JamiiForums ambaye hafichi Mapenzi yake kwa Rais Dk. J.P. Magufuli na chama chake cha CCM hapa kama Mimi GENTAMYCINE?
 
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo

GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.

We unataka ajira zao zilowane kuna uwezekano siku hiyo wakawa na udhuru
 
Back
Top Bottom