Uchaguzi 2020 NEC kama 'mlivyoonekana' leo basi naomba tarehe 8, August 2020 Lissu akija hapo niyaone pia haya yafuatayo...

Una akili nyingi mpaka kuna muda nafikiria kukuazima!!!
 
Pia TBC muwepo kama leo. Hiyo TV STATION siyo ya Ccm ni kodi zetu wote.
 
Hiyo NEC ni kitengo tu cha ccm.
 
Nani lofa kati ya mimi ambaye hata bachelor ndo namaliza next month lakini naporomoka Kizungu kama mvua na yule mwenye PhD aliyoipata kwa lugha ya kiingereza lakini hicho kizungu hakijui?
Maliza hio bachelor uje kuchoma mahindi mtaani,maana kingereza street hakina issue
 

Hizo pointi zako umeamua kutaka kukata mzizi wa fitina kuwa NEC ni huru ama la. Kuna watu wanaofaidika na tume hii ya uchaguzi ndio wanaolazimisha kusema kuwa tume hii ni huru. Ila kwakuwa umeweka vigezo hapo juu, basi kila mtu atajiridhisha na uhuru wa tume hii hiyo tarehe 8.
 
Unawapangia wewe kama nani
Lisu Nani hasa
Magufuli ni Rais usimfananishe na Waropokaji bwana

Ni kweli, ila alienda eneo huru, na watumishi wa tume hawakupaswa kuwa biased na mmoja wa wagombea, ili kuondoa shaka ya uhuru wao katika kusimamia uchaguzi.
 
wapo wakutetemekea siyo huyo kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…