mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Siwasemei Pot bali naeleza hayo kutokana na yale niliyoona wakati wagombea wengine walipokuwa wakichukua fomu. Hata hivyo nakubaliana na wewe TUSUBIRI hiyo 08/08/2020.Usiwasemee Mkuu ngoja tuone na bahati nzuri tu ni kwamba tarehe 8, August 2020 siyo mbali na ni Keshokutwa huku yamebaki Masaa machache.
Unafananisha mapokezi ya mgombea ambae ni rais na mgombea ambae ni mwananchi tu ?😳💤
Sawa kibuyuWe kibuyu kweli yaani
Lissu anaweza kukuta ofisi imefungwa....ha ha ha au akakuta mhudumu kavaa dera akampa form....1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Kwanza apo uyo Lissu aombe amkute huyo jamaa mwenyewe ofisini, hii mijamaa mimafia haieleweki.Sema tu jamaa kibri. Wakimpokea vizuri Lissu next day mkurugenzi wa NEC atawekwa benchi bila aibu.
Nina wasiwasi tarehe 8 itakuwa jmosi ambayo siyo siku ya kazi hivyo ofisi zitakuwa zimefungwa,1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Magufuli ameenda kuchukua form akiwa na kofia ya Urais,1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Kwahiyo Ni Bora tusishiriki tu na huu uchaguzi Kama tulivyo Fanya kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa Siyo?
Maana sababu kuu haijapata utatuzi nayo Ni kutokuwepo tume huru.
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Ahahahaaa.Kwanza apo uyo Lissu aombe amkute huyo jamaa mwenyewe ofisini, hii mijamaa mimafia haieleweki.
Unaeza kuambiwa hawapo wanakagua miradi ya aina mpya ya samaki huko makutupora na hombolo siku hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza rudi Kenya huku sio kwakoWewe Zuzu hizo hela zinatoka mfuko binafsi wa Jiwe?
Sema tu usipoyaona hayo basi JPM hutampa kura yako! Fulustopu!1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo
GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
Sema tu usipoyaona hayo basi JPM hutampa kura yako! Fulustopu!