Uchaguzi 2020 NEC: Kama pingamizi la Tundu Lissu dhidi ya Dkt. Magufuli lingekuwa na mashiko Sheria ingefuata mkondo wake, hakuna aliye juu ya sheria!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkurugenzi wa Huduma za sheria wa tume ya uchaguzi Emmanuel Kavishe amesema kama pingamizi la Tundu Lisu wa Chadema dhidi ya DKT. Magufuli wa CCM lingekuwa na mashiko basi tume ingechukua hatua kwa mujibu wa katiba kwani hakuna mgombea aliye juu ya Sheria.

Kavishe alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus aliyetaka kujua iwapo tume ambayo makamishna wake wote wameteuliwa na Rais inaweza kumhoji na kumchukulia hatua mteule wake.

Kavishe amesema pingamizi la Tundu Lisu lilikosa mashiko na Dr Magufuli alizipangua hoja zote kwa ufasaha.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwamba waliloziweka wao Tume wenyewe, hazina mashiko

Kwa lugha nyingine, zilitungwa na Vilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Mtu mwenye akili akikuambia neno la kipumbavu -ukalikubali, anakudharau!"

Mwl J. K Nyerere
 
NEC ni wanafiki tu, wale wale wazee wa kupiga "MAPAMBIO", "VIBARAKA", "TAWI DOGO LA CCM".

Dalili zinaonesha safari hii wananchi ndio watakao amua, iwe kwa ustaarabu au kwa ncha ya mkuki.
 
Kwahiyo lenye mashiko ni LA yule alieandika herufi ndogo badala ya kubwa
 
Kaijeage kwendraaaaa zako kuleeee..
https://jamii.app/JFUserGuide.. NG TUMEEEE....
 
Hoja za lisu zilikosa mashiko halafu hafafanui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kivipi?.. magu alizipangua hoja hizo kivipi mbona hatuelezwi?kwa njia ya simu au vipi?Sheria inasemaje?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Huu mwaka mtatumia muda wenu hapo ofisini kujitetea mpaka
 
pepo ุŒjini na shetani wote in walewale,eti hakuna mgombea aliye juu ya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ