Me nilifikiri hao mawakala Ni watu wanaoaminiwa zaidi na chama,swala la kuhongwa na kukubali linathibitisha kuwa wanasiasa wapo kwaajili ya matumbo yao na si masilahi ya wananchi,bila kujali wanatoka mrengo gani wa kisiasa.Kwa sababu wanaweza kuhongwa wakabadili matokeo au wakazidiwa nguvu na mawakala wengine wengi wa vyama tofauti lakini wenye mrengo mmoja.
Me nilifikiri hao mawakala Ni watu wanaoaminiwa zaidi na chama,swala la kuhongwa na kukubali linathibitisha kuwa wanasiasa wapo kwaajili ya matumbo yao na si masilahi ya wananchi,bila kujali wanatoka mrengo gani wa kisiasa.
Mmh, nalo lina uzito wake mkuu.Swala la kuzidiwa nguvu unalichukuliaje?
Dharau ipi, wanajidharaulisha wao. Umesoma hkumu ya Mugasha ya DED kusimamia uchaguzi, ni Jaji wa UPE tu ndiye anaweza kutoa hukumu mavi kama ile! UPE ni UPE tu!Mkuu acha dharau, sio kitu kizuri.
Black is black!U
Natukana! Unapata faida gani?
Je baada ya kupita kura na matokeo kutangazwa mawakala wa vyama watapewa nalala ya matokeo ya wagombea wao?Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo.
Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao na wadau wa uchaguzi uliofanyika ukumbi wa halmashauri ya mji wa Njombe mkoani humo.
“Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeruhusu watazamaji wa ndani na nje,katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambapo imetoa vibali kwa asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani na vibali kwa makundi 16 ya watazamaji wa nje” alisema Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Anasema “Siku ya uchaguzi vyama vya siasa vimepewa nafasi ya kuweka wakala katika kila kituo cha kupigia kura, wakala atakuwepo kituoni kwa ajili ya kuangalia utaratibu wa uchaguzi zinazoendelea kituoni pale na kama zinazingatia sheria, kanuni, taratibu na maelekezo yanayotolewa na tume, lengo kubwa ni kulinda maslahi ya Chama na wagombea wake”amesema Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Hata hivyo amesema “Tayari vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi, vimepata nakala tepe ya orodha ya wapiga kura waliomo katika orodha ya daftari la kudumu la wapiga kura hii ni kuwawezesha mawakala kutimiza wajibu wa kuhakiki wapiga kura wanaofika kituoni” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Jaji mstaafu Mary Longway amesisitiza kuwa “Tume inasisitiza umuhimu wa vyama vya siasa na wagombea kuzingatia maadili ya uchaguzi katika kampeni zao, ikwemo kuepuka Lugha za kashfa, maneno ya uchochezi yanayotishia usalama na amani ya Nchi” Jaji mstaafu Mary Longway
Aidha amesema“Wakati tume inaendelea kuratibu, kusimamia na kuendesha uchaguzi huu kwa kutumia sheria za uchaguzi. Vyama vya siasa, wagombea na wananchi wanakumbushwa kuwa katika kipindi hiki sheria nyingine za nchi hazijasimama” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Amewahakikishia wananchi kuwa tume itaendelea kufuata katiba na sheria katika utekelezaji wa majukumu yake.
“Tume inawahakikishia wananchi kuwa, imejipanga katika kusimamia uchaguzi wa mwaka huu kwa kufuata katiba, sheria, kanuni na miongozo mbali mbali na inaamini kuwa kila mdau akitimiza wajibu wake kwa kufuata taratibu basi watanzania wataweza kupiga kura kwa amani” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Unajua maana ya PhD?Hivi mwenyekiti wenu wa faru John, Ana PhD ngapi?.
Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo.
Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao na wadau wa uchaguzi uliofanyika ukumbi wa halmashauri ya mji wa Njombe mkoani humo.
“Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeruhusu watazamaji wa ndani na nje,katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambapo imetoa vibali kwa asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani na vibali kwa makundi 16 ya watazamaji wa nje” alisema Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Anasema “Siku ya uchaguzi vyama vya siasa vimepewa nafasi ya kuweka wakala katika kila kituo cha kupigia kura, wakala atakuwepo kituoni kwa ajili ya kuangalia utaratibu wa uchaguzi zinazoendelea kituoni pale na kama zinazingatia sheria, kanuni, taratibu na maelekezo yanayotolewa na tume, lengo kubwa ni kulinda maslahi ya Chama na wagombea wake”amesema Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Hata hivyo amesema “Tayari vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi, vimepata nakala tepe ya orodha ya wapiga kura waliomo katika orodha ya daftari la kudumu la wapiga kura hii ni kuwawezesha mawakala kutimiza wajibu wa kuhakiki wapiga kura wanaofika kituoni” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Jaji mstaafu Mary Longway amesisitiza kuwa “Tume inasisitiza umuhimu wa vyama vya siasa na wagombea kuzingatia maadili ya uchaguzi katika kampeni zao, ikwemo kuepuka Lugha za kashfa, maneno ya uchochezi yanayotishia usalama na amani ya Nchi” Jaji mstaafu Mary Longway
Aidha amesema“Wakati tume inaendelea kuratibu, kusimamia na kuendesha uchaguzi huu kwa kutumia sheria za uchaguzi. Vyama vya siasa, wagombea na wananchi wanakumbushwa kuwa katika kipindi hiki sheria nyingine za nchi hazijasimama” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Amewahakikishia wananchi kuwa tume itaendelea kufuata katiba na sheria katika utekelezaji wa majukumu yake.
“Tume inawahakikishia wananchi kuwa, imejipanga katika kusimamia uchaguzi wa mwaka huu kwa kufuata katiba, sheria, kanuni na miongozo mbali mbali na inaamini kuwa kila mdau akitimiza wajibu wake kwa kufuata taratibu basi watanzania wataweza kupiga kura kwa amani” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Sheria ipi inamzuia mtu kukaa karibu na kituo cha kupigia kura? Sheria ipi inasema ni activity zipi zimezuiwa kufanywa karibu na kituo cha kupigia kura? Ninavyojua mimi mtanzania ana haki ya kukaa bila kubughudhiwa katika maeneo yote ambayo ni "public" ili mradi hafanyi vitendo ambavyo vimekatazwa na sheria ( kuvuta bangi, kunywa gongo, kupigana n.k.). Mtu atachukuliwa hatua kwa vitendo anavyofanya na sio kwa kujikalia tu. Mtu kama hauna nia mbaya kwa nini uogope watu kushuhudia unachofanya? Mimi ningetegemea kuwa ungependa uwe na mashahidi wengi iwezekanavyo ili pasiwe na shaka juu ya weledi wako.
Amandla...
Ole wake NEC iweke figisufigisu kwenye hili. Patachimbika. Kwa lugha ya Maalim Seif "ukhanithi sasa basi". ICC the Hague wataenda huku familia zao zikitangilia akhera.Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo.
Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao na wadau wa uchaguzi uliofanyika ukumbi wa halmashauri ya mji wa Njombe mkoani humo.
“Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeruhusu watazamaji wa ndani na nje,katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambapo imetoa vibali kwa asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani na vibali kwa makundi 16 ya watazamaji wa nje” alisema Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Anasema “Siku ya uchaguzi vyama vya siasa vimepewa nafasi ya kuweka wakala katika kila kituo cha kupigia kura, wakala atakuwepo kituoni kwa ajili ya kuangalia utaratibu wa uchaguzi zinazoendelea kituoni pale na kama zinazingatia sheria, kanuni, taratibu na maelekezo yanayotolewa na tume, lengo kubwa ni kulinda maslahi ya Chama na wagombea wake”amesema Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Hata hivyo amesema “Tayari vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi, vimepata nakala tepe ya orodha ya wapiga kura waliomo katika orodha ya daftari la kudumu la wapiga kura hii ni kuwawezesha mawakala kutimiza wajibu wa kuhakiki wapiga kura wanaofika kituoni” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Jaji mstaafu Mary Longway amesisitiza kuwa “Tume inasisitiza umuhimu wa vyama vya siasa na wagombea kuzingatia maadili ya uchaguzi katika kampeni zao, ikwemo kuepuka Lugha za kashfa, maneno ya uchochezi yanayotishia usalama na amani ya Nchi” Jaji mstaafu Mary Longway
Aidha amesema“Wakati tume inaendelea kuratibu, kusimamia na kuendesha uchaguzi huu kwa kutumia sheria za uchaguzi. Vyama vya siasa, wagombea na wananchi wanakumbushwa kuwa katika kipindi hiki sheria nyingine za nchi hazijasimama” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Amewahakikishia wananchi kuwa tume itaendelea kufuata katiba na sheria katika utekelezaji wa majukumu yake.
“Tume inawahakikishia wananchi kuwa, imejipanga katika kusimamia uchaguzi wa mwaka huu kwa kufuata katiba, sheria, kanuni na miongozo mbali mbali na inaamini kuwa kila mdau akitimiza wajibu wake kwa kufuata taratibu basi watanzania wataweza kupiga kura kwa amani” Jaji mstaafu Mary Longway Kamishna wa tume ya taifa ya uchaguzi
Mpeleke mawakala wanaokidhi viwango vilivyowekwa na katiba, sheria, kanuni na maadili ya uchaguzi! Msipeleke wanywa viroba na wasiojua kusomaHawa NEC sio watu wakuwaamini sana maana kesho watakuja na sarakasi za kutokidhi viwango
Wana silaha za kulindia hizo kura?Baada ya kupiga kura wanachama wataruhusiwa kulinda kura zao?
Kama mwanachadema ukiwezeshwa kiasi hicho kwa Nini usiishukuru CCM?CCM wahuni sana wale hawaoni hasara kumpa mtu nyumba na million100 ili acheze rafu
Halafu ukiyapata ukiwa mita 200 ndo Tundu Lissu atashinda?Tutakaa mita 200 kusubiria matokeo...
Ndiyo ila zizimwe.Hahaaa, hivi Mawakala wanaruhusiwa kuingia na simu?