Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Acha akili za kitoto.
Tume ya taifa ya uchaguzi ndio inaandaa, kuratibu na kusimamia shughuli zote za uchaguzi. Na siku zote tume imekuwa ikisema swala la kuandaa karatasi za wagombea hukamilika at least wiki tatu kabla ya uchaguzi ili kujipa nafasi ya kupitia, kurekebisha, kusafirisha na kukabidhi vifaa kwenye maeneo husika kabla ya siku ya kupiga kura.
Sasa jiulize tu, ni vipi leo jioni baada ya zoezi la kura kupigwa tume ndio inakuja na hizo blah blah za kusema karatasi kukosewa wakati uchapaji wake ulikamilika wiki tatu zilizopita?
Wewe unadhani hilo ni kosa la bahati mbaya au mpango mkakati?
Nani anawajibishwa?
Akili za kitoto ni zile za kutokutambua kuwa sheer size ya nchi (na idadi ya ballot papers zinazohitaji uhakiki) by itself ni practical challenge.
Nipe mifano ya nchi unazozijua wewe ambazo huwa zinaratibu na kuendesha perfect general elections!