Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
NEC ikumbuke ya kuwa hatuna imani nayo na vyema ikawa msikivu kwa wateja wake wakuu ambao ni sisi wapiga kura .
Pamoja na mikwara ya NEC wapigakura kulinda kura zao
Agizo la NEC kuwa "piga kura, rudi makwenu ukasubilie kujulishwa matokeo huenda likaleta machafuko nchi nzima kwani wapigakura safari hii hawatabanduka vituoni mwao hadi kieleweke…
Ushauri wangu wa bwerere kwa NEC ni kuwa waitishe mkutano na vyama vyote shiriki kwenye uchaguzi huu ili waweze kupanga utaratibu wa kuwashirikisha wapigakura kuhakikisha uchaguzi huu ni wa huru na haki…………..
NEC ikumbuke ya kuwa hatuna imani nayo na vyema ikawa msikivu kwa wateja wake wakuu ambao ni sisi wapiga kura……………….
Sheria inasema baada ya kupiga kura wapiga kura wanatakiwa wakae mita 200 kutoka kilipo kituo. Kama wanataka kubadili sheria waitishe kikao cha bunge na wabadilishe sheria lakini kwa hili labda kama wanataka kuua wapiga kura.
Kwa hili tumeshaliweka wazi kwa wapiga kura kwamba sheria walitunga wao na hawawezi kuibadilisha kirejareja kwa kidomo yao tu. Hapa wajue hatutakuwa vituoni mbali na umbali ulioainishwa na sheria na hatutarudi majumbani. We can be a sacrifice on this matter.
kwani hujui kuwa ccm, kazi yenu ni kuhonga mawakala, na kubadili kura zilizopigwa na kuweka zingine ili kujipatia ushindi.
Ulikuja humu kuvote kwenye hiyo JF poll hapo juu umwongezee JK point. Amin amin nakwambia , kabla halijawika jogoo tarehe 31/10/2010 tutakuwa umemkana JK mara tatu.
Nawapa salamu wana JF ASUBUHI YA LEO. Nina mengi ya kuwa- hint lakini leo nataka niwataadharishshe na huyu mtu anayeitwa Dr Slaa na wafuasi wake wa CHADEMA. NINAWAAMBIA HIVYO KWA SABABU WAMEKARIRIWA kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo tarehe 29, Septemba ,2009. imewanukuu Dr Slaa na mpambe wake wa karibu Mbowe kuwa ni wachochezi.
MIMI NASEMA WATU HAWA HAWASTAHILI KUISHI NCHINI TANZANIA AMBAYO NI YA AMANI NA UTULIVU. Watu hawa ni hatari yafaa sote tuwaogope eti wanadiriki kusema wananchi wamwage damu ikiwa ni gharama ya kulinda kura. Kama hiyo haitoshi wazandiki hawa wanashawishi matokeo ya uchaguzi mkuu yakataliwe oktoba. Mimi nadahani hawa wanahitaji kwenda hodi ya magonjwa ya akili(Mirembe) wakachunguzwe akili zao kama zipo timamu.
Baada ya kuona wamepunguza umaarufu nchini na kuona waziwazi kuwa hawatashinda kwenye uchaguzi mkuu wanajaribu kushawishi watu wakatae matokeo hii ni laana au nini??? Nawashanga Mbowe na DR. SLAA!! .
Mgombea Urais wa CCM DR .JAKAYA KIKWETE wamejionea wenyewe kwa macho na kusikia jinsi mgombea huyu anayopeta kila anakokwenda kupiga kampeni. Ni wazi kila mtanzania ameona kazi zake alivyozifanya kwa umakini mkubwa katika kipindi cha awamu ya kwanza cha Urais. Hivyo wameamua kwa dhati kumchagua tena katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Watanzania wenzangu tumeshazoea kuishi kwa amani na utulivu tusishawishiwe na wazandiki Dr . Slaa na Mbowe kwa kuwa hawafai.
Chagua Kikwete chagua CCM tarehe 31 Oktoba ,2010 . Cha kufanya unachukua kura yako unaweka waa!!
Vote for Kikwete 2010
MIMI NASEMA WATU HAWA HAWASTAHILI KUISHI NCHINI TANZANIA AMBAYO NI YA AMANI NA UTULIVU.