Tetesi: NEC kutoa ratiba ya uchaguzi mdogo Jimbo la Singida Mashariki na Kata zilizo wazi wiki hii.

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Habari zinazosikika ni kwamba NEC itatangaza ratiba ya uchaguzi mdogo Jimbo la Singida Mashariki na kata zilizowazi muda wowote ndani ya wiki hii.

Inasemekana kuwa "Inaonekana" tishio la Lissu kwenda Mahakamani limeharikisha utoaji wa ratiba ili "ku confuse things"
 
Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali watu wameshajua huyu jamaa akigombea uraisi atashinda 2020 hivyo njia pekee ya kumpoteza ni kumfutia ubunge wake akose sifa za kuwa mgombea Urais
 
Hii nchi tuna mavi-ongozi mataahira, yaani tumebakiza miezi 15 tuende kwenye uchaguzi mkuu watu wanataka kuitisha uchaguzi mdogo? Hata kama jimbo lingekuwa wazi hii haikubaliki, haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi! Watumishi wa umma hawajaongezwa mishahara leo hii kunapatikana pesa ya kumwaga, kweli ukiongozwa na taahira tarajia kuangukia shimoni! Kwa ufupi ile namba moja ni taahira!
 
Spika kagoma kumpa nakala ya uamuzi Lissu ili aende mahakamani?!
 
TUNDU LISSU NI MOTO WA KUOTEA MBALI WATU WAMESHAJUA HUYU JAMAA AKIGOMBEA URAISI ATASHINDA 2020 HIVYO NJIA PEKEE YA KUMPOTEZA NI KUMFUTIA UBUNGE WAKE AKOSE SIFA ZA KUWA MGOMBEA URAISIIII
Maneno yako yana kauchochezi kwa mbali.
 
Labda hawana la kufanya hii imetengenezwa kuzuia watu wasiiponde timu ya TAIFA kwa jinsi Mkuu Fulani alivyoikuza lakini ikabondwa
 
ni tetesi kumbe tunasubiri official annousment
 
Wapuuz wa ulevi wa madaraka mtakufa na mtayaacha kama wengine wakivoyaacha
 
Hiyo ndio gharama ya demokrasia,mnayoipigia kelele kila siku, uwe mpole, ni takwa la kikatiba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…