Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
mkuu nieleweshe kidogo na mimi,Siku ili kuwa mbunge ni moja ya sifa za mtu kuweza kugombea urais?Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali watu wameshajua huyu jamaa akigombea uraisi atashinda 2020 hivyo njia pekee ya kumpoteza ni kumfutia ubunge wake akose sifa za kuwa mgombea Urais