Tetesi: NEC kutoa ratiba ya uchaguzi mdogo Jimbo la Singida Mashariki na Kata zilizo wazi wiki hii.

TUNDU LISSU NI MOTO WA KUOTEA MBALI WATU WAMESHAJUA HUYU JAMAA AKIGOMBEA URAISI ATASHINDA 2020 HIVYO NJIA PEKEE YA KUMPOTEZA NI KUMFUTIA UBUNGE WAKE AKOSE SIFA ZA KUWA MGOMBEA URAISIIII
Kumfutia ubunge TL hakuna uhusiano na umashuhuri wake katika kugombea uraisi. Ila ni Mtanzania gani atamchagua Lissu awe rais wake? Kwa lipi? Amemtukana baba wa taifa Mwalimu Nyerere hadharani. Atakuwa rais wa watoto wake? Yeye anapinga wezi kusafirisha makenikia japo aliandika kitabu kuaminisha ulimwengu kuwa TZ tunaibiwa kupitia hayo makenikia. Sasa ndio huyo awe rais wa nani? Hata Mungu wa mbinguni hatakubali.
 
Mavi- ongozi?????? Hiiii kweli mavi?
 
Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali watu wameshajua huyu jamaa akigombea uraisi atashinda 2020 hivyo njia pekee ya kumpoteza ni kumfutia ubunge wake akose sifa za kuwa mgombea Urais
Hivi ukiitwa juha utalalamika, kama hujui sifa za mtu anaefaa kugombea Urais kwa mujibu wa katiba si upige kimya
 
Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali watu wameshajua huyu jamaa akigombea uraisi atashinda 2020 hivyo njia pekee ya kumpoteza ni kumfutia ubunge wake akose sifa za kuwa mgombea Urais
Lisu hawezi kuwa hata rais wa wehu kama yeye
 
Demokrasia ni ghali si mnalilia demokrasia
 
Mzimu wa nyerere hauta muacha vema
 
Halafu Lisu ni wakili msomi usipende kubishana na akili fupi na low life huwa wana majibu ya kuudhi kama wapiga debe wa dala dala
Wewe kwa vile hapa bongo umekosa cha kufanya mpaka umeamua kutumika kinyume cha maumbile ndiyo maana unatoa kejeli hii.
 
Hivi ukiitwa juha utalalamika, kama hujui sifa za mtu anaefaa kugombea Urais kwa mujibu wa katiba si upige kimya
Kama kichaa aliyefukuzwa seminari na kuhamia Lake secondary school anatawala na kutwa anawatukana itakuwa Lisu?
 
Nyerere ni mtu kama mtu mwingine yoyote, amezaliwa na mwanamke na amekufa kama watu wengine.
Acheni kuabudu watu wakuabudiwa ni Mungu aliye hai. Ndiyo maana Mungu analeta vimbunga Tanzania mara Dengue mara tetemeko kwaajili ya tabia zenu za kuabudu binadamu
Mzimu wa nyerere hauta muacha vema
Ga
 
Mnaojua mnisaidie,Hivi magufuli alipata nafasi ya kufanya kampeni kwa muda wote wa miaka minne kwa ruhusa ya tume au kwa kuwa ni rais au kwa kuwa ni mwenyekiti wa ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…