Sijijui JF-Expert Member Joined Jan 14, 2018 Posts 7,877 Reaction score 8,804 Feb 12, 2020 #41 MSELA WA MANZESE said: Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali watu wameshajua huyu jamaa akigombea uraisi atashinda 2020 hivyo njia pekee ya kumpoteza ni kumfutia ubunge wake akose sifa za kuwa mgombea Urais Click to expand... mkuu nieleweshe kidogo na mimi,Siku ili kuwa mbunge ni moja ya sifa za mtu kuweza kugombea urais?
MSELA WA MANZESE said: Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali watu wameshajua huyu jamaa akigombea uraisi atashinda 2020 hivyo njia pekee ya kumpoteza ni kumfutia ubunge wake akose sifa za kuwa mgombea Urais Click to expand... mkuu nieleweshe kidogo na mimi,Siku ili kuwa mbunge ni moja ya sifa za mtu kuweza kugombea urais?