Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mara ya kwanza dunia nzima Refari anakaba ili asaidie mshindani mwingine ashinde😅😅😅Lissu hana kura za kuifanya NEC ipindishe matokeo.
Lissu ni debe tupu yule
Ccm kingdom is falling no matter whatHawa wote mnawalaumu bure, kama fujo zikitokea na kuvuruga Uchaguzi kwavile JIWE anaelekea kushindwa, wakulaumiwa ni JIWE peke yake kwani ndiye ARCHITECT!!
Mahera anapigia kampeni mgombea wake aliyefeli na kutoa matamko yenye mlengo wa upendeleo.we are keeping records.he will be responsible individually.Kwanza nianze kwa kukushangaa na kukuuliza swali kuwa Tume inasababishaje vurugu wakati haipigi kampeni zaidi ya wao kusimamia Sheria pia kila chama kitakua na wakala wakati upigaji kura, uhesabuji kura wanakuwepo Sasa huo wizi unatokeaje?
DaaahKwanza nianze kwa kukushangaa na kukuuliza swali kuwa Tume inasababishaje vurugu wakati haipigi kampeni zaidi ya wao kusimamia Sheria pia kila chama kitakua na wakala wakati upigaji kura, uhesabuji kura wanakuwepo Sasa huo wizi unatokeaje?
Huyo hatusumbui tutajua Kama Ni mtanzania au siyoHawa wote mnawalaumu bure, kama fujo zikitokea na kuvuruga Uchaguzi kwavile JIWE anaelekea kushindwa, wakulaumiwa ni JIWE peke yake kwani ndiye ARCHITECT!!
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.
Babymama cariha , pls join me
Lissu hana kura kwa kura zote unapiga wewe.Lissu hana kura za kuifanya NEC ipindishe matokeo.
Lissu ni debe tupu yule
Lisu ni debe tupu mkuuLissu hana kura kwa kura zote unapiga wewe.
Nenda ugoogle kwa jinsi gani tume ya uchaguzi kenya ilisababisha umwagikaji damu kwa sababu kama hizi.Kwanza nianze kwa kukushangaa na kukuuliza swali kuwa Tume inasababishaje vurugu wakati haipigi kampeni zaidi ya wao kusimamia Sheria pia kila chama kitakua na wakala wakati upigaji kura, uhesabuji kura wanakuwepo Sasa huo wizi unatokeaje?
NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe.
Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia hakuna mbunge hata mmoja wa CCM ambaye amenyimwa au kuzuia kugombea lakini imebakia ni wapinzani pekee hii pia ni kujipendekeza na kusikiliza wagombea binafsi badala ya kujali maslahi ya taifa.
Mkurugenzi wa NEC kuonekana kwenye video ya CCM Arusha siku za nyuma akijadili jinsi wanavyosaidia CCM kwenye uchaguzi na kutaja kwa sifa mtu wake wa computer nayo inaonyesha huyu ni kada.
Kama NEC haitawaruhusu vyama vya wapinzani kuwa na wawakilishi wao na kuwapa matokeo kwenye kila kituo watakuwa wametangaza fujo maana matokeo yeyote hapo hayata kubaliwa. Cha ajabu NEC wanafikiri Lissu na Seif pekee ndiyo tatizo kumbe tatizo kubwa na watu wa kuwaogopa ni wananchi ambao hawa ni waakilishi tu.
Tushauri NEC ihakikishe uchaguzi unakuwa halali msije kumpeleka Magufuli masikini kwenye kesi za mauaji kama Kenyetta. Na kibaya zaidi ushahidi sasa upo na kuna kundi tayari limeanza kuandaa video zote wakati wa kampeni. Polisi mpaka sasa wanafanya kazi nzuri.
View attachment 1583995
[/QUOTNEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe.
Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia hakuna mbunge hata mmoja wa CCM ambaye amenyimwa au kuzuia kugombea lakini imebakia ni wapinzani pekee hii pia ni kujipendekeza na kusikiliza wagombea binafsi badala ya kujali maslahi ya taifa.
Mkurugenzi wa NEC kuonekana kwenye video ya CCM Arusha siku za nyuma akijadili jinsi wanavyosaidia CCM kwenye uchaguzi na kutaja kwa sifa mtu wake wa computer nayo inaonyesha huyu ni kada.
Kama NEC haitawaruhusu vyama vya wapinzani kuwa na wawakilishi wao na kuwapa matokeo kwenye kila kituo watakuwa wametangaza fujo maana matokeo yeyote hapo hayata kubaliwa. Cha ajabu NEC wanafikiri Lissu na Seif pekee ndiyo tatizo kumbe tatizo kubwa na watu wa kuwaogopa ni wananchi ambao hawa ni waakilishi tu.
Tushauri NEC ihakikishe uchaguzi unakuwa halali msije kumpeleka Magufuli masikini kwenye kesi za mauaji kama Kenyetta. Na kibaya zaidi ushahidi sasa upo na kuna kundi tayari limeanza kuandaa video zote wakati wa kampeni. Polisi mpaka sasa wanafanya kazi nzuri.
View attachment 1583995
[
Hatuwezi kukubali mtu mmoja anayenufaika kwa kodi zetu atuharibie nchi kulinda maslahi yake.
Hakuna mtu asiyechaguliwa atakayepata kibali cha Mungu kuongoza nchi hii.
Tena napendekeza ile wiki ya mwisho ya uchaguzi watu wakeshe wakiomba na kufunga na kila mtu asome dua za kuwadhuru wote watakaovuruga Haki ya mpiga kura katika Taifa hili . Hsiwezekani tuendelee kuwapa mamlaka wezi kwa wizi wa kura. Yani watu wameifilisi nchi kwa kuuza mpaka nyumba za serikali zote na nyingine wamejiuzia kwa bei rahisi halafu tena anatokea oCD wa ajabu anatumia risasi za umma tena kuhakiikisha hao wezi wanashinda kwa wizi tena ? Hapana !!
Kama watashinda washinde kwa Haki. Watangazwe kwa Haki,kura zipigwe kwa uwazi na kwa haki.
Kama kweli wanaamini kuwa Mungu alituepusha na korona basi watambue kuwa huyo ndiye Mungu wa Haki. Mungu hapendi dhuluma na kujikweza . Bora huyo Mwenyekiti wa NEC aridhike na alichopewa na Mungu na atende haki kuliko kutafuta vyeo kwa kuwafurahisha Watu walioshiba kwa dhulma tangu uhuru.
Lisu aliponywa kwa sababu ya ile kiu yake ya Haki aliyo nayo.
Mungu wetu amrondoa Korona Tanzania na sasa tuzidi kumwomba aondoe Dhuluma ambayo pia ni kama Korona iliyoua watu wengi sana na kuwafunga watu wengi wasuo na hatia.
Dhulma,wizi, ufisadi,rushwa ya madaraka,kujikweza ni Korona iliyowaumiza watanzania chini ya CCM. Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana uliwaumiza watu sana kama janga la korona kule uleya. Mungu ameamua kutetea taifa lake kwa kuliepusha na korona lakini limegauka kuwa Taifa la watu waovu ,wenye dhuluma ,waliolewa madaraka.
huyu mkurugenzi nikimwangalia nakumbuka tar 5 sept 2018 alivyofokewa na DC JERRY MURO pale ArumeruNEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe.