Uchaguzi 2020 NEC ndiyo inaweza kuleta vurugu Tanzania sio Vyama vya Siasa

Hawa wote mnawalaumu bure, kama fujo zikitokea na kuvuruga Uchaguzi kwavile JIWE anaelekea kushindwa, wakulaumiwa ni JIWE peke yake kwani ndiye ARCHITECT!!
Ccm kingdom is falling no matter what
 
Kwanza nianze kwa kukushangaa na kukuuliza swali kuwa Tume inasababishaje vurugu wakati haipigi kampeni zaidi ya wao kusimamia Sheria pia kila chama kitakua na wakala wakati upigaji kura, uhesabuji kura wanakuwepo Sasa huo wizi unatokeaje?
Mahera anapigia kampeni mgombea wake aliyefeli na kutoa matamko yenye mlengo wa upendeleo.we are keeping records.he will be responsible individually.
 
Kwanza nianze kwa kukushangaa na kukuuliza swali kuwa Tume inasababishaje vurugu wakati haipigi kampeni zaidi ya wao kusimamia Sheria pia kila chama kitakua na wakala wakati upigaji kura, uhesabuji kura wanakuwepo Sasa huo wizi unatokeaje?
Daaah
 
NEC wana sahau kwamba vyama vya upinzani kazi yao kuu ni kutaka kuitoa Ccm madarakani. Rither kwa kusema uongo au kweli. Hawachagui silaha. Unapo walazimisha wacheze ngoma za Ccm ni upotolo
 
Hawa wote mnawalaumu bure, kama fujo zikitokea na kuvuruga Uchaguzi kwavile JIWE anaelekea kushindwa, wakulaumiwa ni JIWE peke yake kwani ndiye ARCHITECT!!
Huyo hatusumbui tutajua Kama Ni mtanzania au siyo
 
Vyama vya siasa vinapaswa kufuata kanuni za Uchaguzi na sio matakwa binafsi.

Huwezi ukalazimisha jambo wakati kanuni hazitambui, lazima tatizo litokee.

Vyama vya siasa pia vina wajibu wa kuwaelemisha wanachama na wafuasi wake kuhusiana na mambo yanayopaswa kufanyika kipindi hiki na yale pia yasiyopaswa.
 
Sorry, I cannot vote a person who insults us as wapumbafu wanaopeleka watoto wao sekondari za kata. Wa kwake wanaenda private za Belgium. Does this sound like a person to be voted by right minded person like me..HELL NO.
 
Kwanza nianze kwa kukushangaa na kukuuliza swali kuwa Tume inasababishaje vurugu wakati haipigi kampeni zaidi ya wao kusimamia Sheria pia kila chama kitakua na wakala wakati upigaji kura, uhesabuji kura wanakuwepo Sasa huo wizi unatokeaje?
Nenda ugoogle kwa jinsi gani tume ya uchaguzi kenya ilisababisha umwagikaji damu kwa sababu kama hizi.
 
huyu mkurugenzi nikimwangalia nakumbuka tar 5 sept 2018 alivyofokewa na DC JERRY MURO pale Arumeru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…