johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maneno tu hayo... UTASIKIAMmejirekebisha uchaguzi huu
Usikariri bwashee!Hayo maneno tu, ikifika siku ya siku ni tofauti na yanayotamkwa leo
Wanayofanya mwaka huu yote yatamulikwa na duniaTutawapima kwa vitendo na si maneno
Timiza wajibu wako bwashee!Tutawapima kwa vitendo na si maneno
Unaulinganisha na uchaguzi gani manka?Mmejirekebisha uchaguzi huu
Kule Korogwe 2015 Mkurugenzi aliwakimbia ChademaUnaulinganisha na uchaguzi gani manka?
Ningefurahi Sana Kama hayo yanayotamkwa yakageuka kuwa vitendo.Tutawapima kwa vitendo na si maneno
Hahahaaaa.......!Hawa ndio walituaminisha kule Korogwe Vijijini (Kwa Marehemu Maji Marefu) kuwa wapinzani kama vyama 5 kwa masaa yasiyopungua 5 walishindwa kurudisha fomu zao kwa kuwa hawakujua fomu wapeleke wapi na wampe nani wakati walijua pakuzichukua. Kwa kauli hii ina maana wanajua mchezo ambao huwa unachezwa zidi ya wapinzani huko. Shenzi kabisa.
Umeanza kuwaamini hawa, utalizwa!Mmejirekebisha uchaguzi huu