Uchaguzi 2020 NEC: Ni marufuku Wasimamizi wa Uchaguzi kufunga ofisi siku za kurudisha fomu na siku za uteuzi

Uchaguzi 2020 NEC: Ni marufuku Wasimamizi wa Uchaguzi kufunga ofisi siku za kurudisha fomu na siku za uteuzi

Noma sana tatizo sio tamko, suala ni utekelezaji wa hilo tamko kwa wasimamizi wa uchaguzi. Akijua leo mpinzani anarejesha fomu, halafu ukute ni siku ya mwisho kurejesha fomu na mwisho iwe saa 10:00 kamili jioni, anakwenda kula chakula cha mchana anarudi saa 10:05 jioni.

Kipindi hicho mgombea wa upinzani kaganda ofisini ila anaambiwa umechelewa, muda umekwisha wa kurejesha fomu.
 
Kuna Sheria mpya ya Uchaguzi mwaka huu?
 
In a dictatorial regime, there s no Law or order! Hayo ni maneno na ngonjera. Ana ubavu wa kumkanusha Jiwe?
 
Waendelee tu kufunga maofisi ili chama kichukue nchi bila ya wapinzani. Wanahaha nini? Zanzibar wameongoza nchi 5yrs bila upinzani wamepata nini?
 
Ni aibu kusema haya leo. Kilichofanyika kwenye chaguzi ndogo Korogwe na sehemu nyingine nchini kinajulikana. NEC imejishushia heshima kwa jamii na matamko haya ni uthibitisho kilichofanyika walikijua na kukikubali.
 
Back
Top Bottom