Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Ofcourse... kama kweli wanamaanisha tutaona.Tutawapima kwa vitendo na si maneno
Hii inaitwa janja ya nyani.Mmejirekebisha uchaguzi huu
Wakifanya ushenzi wanatakiwa kushikishwa adabu,Hii tume ya uchaguzi ni tume ya matapeli fullstop.
Wakifanya ushenzi wanatakiwa kushikishwa adabu,
Danganya toto!Mmejirekebisha uchaguzi huu
Mmejirekebisha uchaguzi huu
Marufuku haitoshi sheria inasemaje maana huo ndo mipango wa aliyemteua Mwkt wa Tume anatakiwa kusimamia dhuluma na mbinu chafu zakumshindisha...Mmejirekebisha uchaguzi huu