Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!


Computer generated figures, maskini yaani wanaiba bila hata aibu ooh no, bila hata kutumia akili......kweli kilaza ni kilaza tu! halafu watanzania bado tunawaacha mabwege waendelee kukalia ofisi zetu! Period!
 

NEC ni watu makini hawawezi fanya hivi. Hebu acheni kutuwekea mambo uzushi humu JF bana, km huna cha ku post kaaa kimya
 
Alafu ni wajinga, Wamatumia fake random generator, at least wangechagua distribution, labda kura huwa hazifuati distribution.
Yaani hata kimaesebu zinaonekana kura za kichina
 
Msiwe na haraka data zinaanza kuvuja taratibu mwisho tutapata kitu na box be patient hata EPA walikataa hivi hivi, nasikia Makame tumbo joto.
Mkuu Quinine, nimekupa thanks ya ku tick, nakupa asante nyingine ya maandishi. Narudia usemi ule wa 'mpaka kieleweke'. Kuchakachua matokeo ya kura ni kosa la jinai na kuwadanganya wote waliopiga kura. Wahalifu hao wote wnapaswa kuchukuliwa hatua zipasazo.
 
Tembelea gazeti la mwananchi mtandaoni, Mwananchi Election Editions tafuta mkoa wa Mwanza, utakuta kilichotangazwa
Sasa sijui nani anatulisha kasa hapa
 


Source hapa

The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
 
NEC ni watu makini hawawezi fanya hivi. Hebu acheni kutuwekea mambo uzushi humu JF bana, km huna cha ku post kaaa kimya
Kijana, kabla hujajiabisha zaidi, nakushauiri ubadili jina lako, angalau lifanane kidogo na wewe!
 
Jamani nivizuri kuisave hii page kabla hawajaichakachua
 
Ni aibu sana kufanya mambo kama hizi ilhali wananchi tupo.tuingie kazini kieleweke fasta.Hakuna amani Tz ni kiini macho tu.hebu pita mitaa ya Tandale usiku uone utachofanyiwa.
 
Dingiswayo hebu badili jina fasta.Inaonyesha una tatizo ktk kichwa chako.hebu tubadilike jaman
 
On this i can't comment nikisema naambiwa eti chadema damu damu. Utasikia wanalipinga hili. Wanaccm fungueni macho acheni kutoona kwasababu ya kuwa brainwashed!
Haya asiyeweza kwenda huko nimemletea hapa. Au wanachadema ndo tumechakachua? ili waonekane wamekosea? Think about it and do the needful!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…