Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!

Mh hata mimi mvivu wa kuchangia leo nimekosa uvumilivu. wanapojumlisha wanasema ameshinda kwa kishindo. kazi kweli
 
Naomba Slaa awe anajua hii kitu

Kiravu akifanya mchezo tutamtoa uhai
 
Lewis Makame akisoma matokeo ya uongo anadai UWT wamekuwa wanamdanganya

 

Kishaibu Makame hesabu kasahau yule. Wenzake wanacheza na wajukuu yeye bado kang'ang'ana na Ufisadi.
 

Thanks a million Quinine.... njia ya mwongo ni fupi

While KJJ is "prouding" himself on facebook... his executive appointees share this rubbish... JK, you can delegate assignment but not responsibility... YOU ARE RESPONSIBLE FOR THIS MESS
 
NEC ni watu makini hawawezi fanya hivi. Hebu acheni kutuwekea mambo uzushi humu JF bana, km huna cha ku post kaaa kimya

Usibishe bila kuchunguza, hii habari imetoka kwenye post niliyopost mimi, na hiyo info nimetoa kwenye website ya NEC na hizo number ndizo alikuwa anazizungumzia Slaa kuwa Geita walipata tofauti lakini NEC wakatangaza tofauti.
 
one day, somehow, some one, will tell the truth for all of us to know.
 
Shame NE + CCM +USALAMA WA TAIFA WA CCM + KOVA+ GEN SHIMBO- yale uliyo yatoa ulimaanisha kuwa nec wakisha fanya hivyo mtatutisha tukubali matokeo, kaa ukijua sisi hatutafanya fujo lakini mtapata aibu ya kuongoza watu ambao hawakuwachagua! kila mkipita mtaani tutakuwa tunawazomea!
 
Lewis Makame akisoma matokeo ya uongo anadai UWT wamekuwa wanamdanganya


Kwani huyo Makame aliambiwa asikilize UWT? Ndio mwongozo wa kazi yake ulivyo?
No to Sultanate, No to Dictator, No to Uchakachuaji! Justice must privail!
 

kwa CCM wanafanya tu Mkuu,
nenda angalie ahadi za Kikwete, wewe unadhani sio Fake zile?, CCM hawako timamu
 
Tulinganishe matokeo ya Arusha mjini katika mwananchi na NEC.
 
Actually ni muendelezo wa thread aliyoianzisha mkuu Quinine, ila nimeiweka katika animated graphic ili wale wanaotumia miwani wasipate shida kuona 'umakini' wa NEC. Baadaye mods mnaweza kuziunganisha.



NB: Capture hii imetoka katika website ya NEC, nimeongeza animation tu na wala si figure! Tembelea HAPA
 
Lewis Makame akisoma matokeo ya uongo anadai UWT wamekuwa wanamdanganya


Halafu nilimuona eti anaenda kanisani kuombea uchaguzi, unafiki na uzandiki wa hali ya juu. Nenda kafanye sala ya toba wiki nzima tokea sasa, ama sivyo laana ya watanzania itaanza kukuandama.
 
Kwa jinsi navyoijua ChakaChuaMatokeo (CCM) ilivyojaa majuha, nazidi kuamini pia NEC ilikuwa inatekeleza amri za hawa majuha wa CCM!
 
Halafu nilimuona eti anaenda kanisani kuombea uchaguzi, unafiki na uzandiki wa hali ya juu. Nenda kafanye sala ya toba wiki nzima tokea sasa, ama sivyo laana ya watanzania itaanza kukuandama.
Kwa miaka yote 17 aliyoingoza Tume ya Uchaguzi, chaguzi zote zimekuwa mbovu na hata Katiba ilibadilishwa ili aendelee kuiongoza. Ni kibaraka wa CCM na bila haya wala aibu amekuwa anashiriki kuvuruga uchaguzi. Ni mhaini wa demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…