Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!

du kudadadeki,ss hao mnaowateu kuongoza tume nyeti na makini kaa NEC hata kuiba kwa akili hawajui yaani vituo 2 tofauti utaelezeaje kuwa na matokeo sawaaa....yaani na huyo aliewateua nae taahira,bora mie nliekwisha semaga hesabu sio fani yanguuuuu.......huu nao ushaidi wa kutolea maelezo :nono::A S angry:
 
Natamani kutukana lakin naiheshimu JF. ntaungana na Slaa hata kama ni .....
 
Baba, ulitwaa matofali, ukanijenga imara,
Nalikuwa ni anjari, ukanipa nuru mara,
Ukanifunza maswali, tano na tano ashara,
Vipi tena leo baba, tano na tano aroba?
(from Zaka la Damu)

Probability of such a coincidence under the sun is zero.
 
Mungu wangu weeeeeeeeeeeee! kwani nini usisimamishe jua, lituangaziye mpaka tutakapoelewa ni kwanini umeweka amri ya - Usiibe!
Yaani haya umeacha yatendwe na watu wenye akili timamu ktk karne hii. Simani kuamini kabisa.
 
Baba, ulitwaa matofali, ukanijenga imara,
Nalikuwa ni anjari, ukanipa nuru mara,
Ukanifunza maswali, tano na tano ashara,
Vipi tena leo baba, tano na tano aroba?
(from Zaka la Damu)

Probability of such a coincidence under the sun is zero.
Hiyo ndio TUME YA UCHAGUZI aka NEC, magwiji waliobobea kwenye kuhakiki:smile-big: na tujiulize kwanini mwenyekiti wake ni jaji??? tukishapata majibu HAPO NDIO TUJUE TUMEPEWA HAKI YETU YA MSINGI NA KATIBA:A S angry:
 

I like that! Kweli ni wabakaji!
 
Kama ni typing error, je kuna typing error ngapi ambazo hatujazigundua bado?
 

Hivi ndivyo inavyoonekana mpaka leo tarehe 04.11.2010 Saa kumi na mbili na dakika 28 za jioni (12.28 kwa Kiswahili) za Tanzania, Saa za Afrika Mashariki. Mkuu tuwekee na wewe muda uliozinakili pamoja na tarehe. Weka chini ya jedwali lako hapo mwanzo.
 
Tovuti ya Tume ya uchaguzi inaonyesha kuwa matokeo ya kura za Urais NYANG'HWALE na GEITA yanafanana.

NYANG'HWALE

KIKWETE JAKAYA MRISHO (CCM) - 17,792
SLAA WILLIBROD PETER (CHADEMA) - 3,789
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA (CUF) - 1,042

GEITA

KIKWETE JAKAYA MRISHO (CCM) - 17,792
SLAA WILLIBROD PETER (CHADEMA) - 3,789
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA (CUF) - 1,042

The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
 
Geita:

Kikwete: 30,960
Slaa:22,036
Lipumba:3,828

Kiravu ndo katoa hayo muda si mrefu; anasema walikosea wakasoma ya Nyang'wale.
 
Now i know how my grandparents felt during colonialism, infact this is worse:A S angry: am so pissed :doh: hii ni very very bad worse than worst
 
Geita:

Kikwete: 30,960
Slaa:22,036
Lipumba:3,828

Kiravu ndo katoa hayo muda si mrefu; anasema walikosea wakasoma ya Nyang'wale.

Ujumbe umefika. Walikosea kachakachua vizuri, imekula kwao. Wakakosea, wakasoma na kuandika kwenye tovuti yao vilevile. Kama walikosea kusoma kwa nini walikosea pia kuandika kwenye tovuti yao? Dr. Slaa Songa mbele kudai urais tuliokupatia. Watanzania tuko bega kwa bega rais wetu Dr. Slaa.
 
Geita:

Kikwete: 30,960
Slaa:22,036
Lipumba:3,828


Kiravu ndo katoa hayo muda si mrefu; anasema walikosea wakasoma ya Nyang'wale.

Afadhali. Lakini bado hawajarekebisha kwenye tovuti. Ipi inaprevail kati ya maandishi na maelezo ya mdomo?
 
Mpaka Dr. Slaa aseme ndo muwajibike ninyi kutumia akili zenu hapana! Such ******!
 
Kijana, kabla hujajiabisha zaidi, nakushauiri ubadili jina lako, angalau lifanane kidogo na wewe!
Kama atapata ugumu wa kuchagua jina napendekeza atumie hili ZERO BRAIN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…