Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Nahisi vyama vyote vilituma majina ya wabunge wa viti maalum hata kabla ya uchaguzi, kulikuwa na mawasiliano hayo napia kujaza form, sasa baada ya uchaguzi kwenda ndivyo sivyo na speaker kuhitaji majina ya wabunge wa viti maallum bila mafanikio basi NEC ikawa imeteua na kumpatia speaker, so labda tuulize kuwa nani huteua wabunge wa viti maalum?

NEC kupitia orodha waliotumiwa au chama chenyewe? kama ni NEC basi uongozi wa chadema hauna kosa kwa sabu list ile ni muda kabla ya uchaguzi na walifanya vile kutimiza matakwa ya sheria za uchaguzi, bado chadema kama hawataki wangewaambia hao walioteuliwa kutokuapishwa na hata sasa inaweza kkuambia wajivue , sasa ni utashi wa mbunge husika kukubali au kukataa.
NEC wamesema wametumiwa tarehe 19 mwezi huu. Kama Mnyika anasema kweli basi kuna watu wame foji sahihi yake na wakina Halima walihusika.

Amandla...
 
Wamegushi sahihi yake hawa wapuuzi kutafuta namna ya kujisafisha
Nilisema huu mchezo hautaki haraka. Hapa ndio Chadema itajulikana kama ni chama cha siasa au ni kikundi cha wahuni tuu.
Kimeshikwa pabaya.
Na nili sisitiza Mnyika aachane na press afanye kazi kama Katibu mkui. Prpaganda awaachie kina Makene. Ona sasa NEC inavyo muingizia dole. [emoji134]
 
Sasa tunaweza kuamini kuwa NEC ni mtuhumiwa kwenye kesi ya kughushi kama ilivyokwisha kutokea huko nyuma na hata hivi karibuni (halmashauri ya Ubungo)?
 
Nilisema huu mchezo hautaki haraka. Hapa ndio Chadema itajulikana kama ni chama cha siasa au ni kikundi cha wahuni tuu.
Kimeshikwa pabaya.
Na nili sisitiza Mnyika aachane na press afanye kazi kama Katibu mkui. Prpaganda awaachie kina Makene. Ona sasa NEC inavyo muingizia dole. [emoji134]
Kwahiyo NEC inamuingizia dole MNYIKA?😳😳
 
[emoji23] [emoji23]
20201127_171314.jpg
 
Hii nchi au nini maana ndio inyoongoza na kubariki jinai mbalimbali.

Wonders hazitaisha, huyu JPM anatafuta nini hasa, life presidency? Utafikiri no death au what?

Haajali kama staili yake itaathiri wananchi hjaali kabisa! Am just wondering. Aipati hata jibu nikifikiria.

Huyu ni mtu wajabu kuwahi kutokea sijui nyie mnafikiriaje.
 
Kumbe Mnyika kaandika barua, halafu anajifanya haelewi. Ovyooo sanaaa
 
NEC wamesema wametumiwa tarehe 19 mwezi huu. Kama Mnyika anasema kweli basi kuna watu wame foji sahihi yake na wakina Halima walihusika.

Amandla...
Tume wameshajichanganya wenyewe,Tarehe 20 kupitia chombo cha habari walikiri kutokupokea majina Chadema,leo wanasema walipokea majina tarehe 19-wamejiaibisha kiukweli na kikubwa internet haidanganyi.
 
Umesoma vizuri barua ya NEC hapo juu? Au umeanza kuchangia bila kusoma barua ya NEC? Wanasema walipokea barua tarehe 19/11/2020.
Barua ambayo wamesema ndiyo wametumia kuteua majina (barua inayo majina yani [emoji23]).
Ila kumbuka tarehe 20 Nov NEC walisema hawajapokea majina kutoka Chadema.
FB_IMG_1606485129514.jpg
 
MkunduLE wewe, Maskini anayeishi chato anapata wapi nauli ya kuja nec kuthibitisha? Unafikiria kwa kutumia tundu la kutolea kimba nini? Aliyebeba kiwiliwili chako miezi tisa KAPATA HASARA SANA

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Ngoja wasamehewe ndo utaelewa hii ni calculated move
 
Back
Top Bottom