Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Mmnyika anajua kila kitu, wanampaka lissu mafuta kwa mgongo wa chupa, hebu kuwa na angalau akili kidogoMnyika amesema kuna nyama za kugushi saini yake, mbona hakutangaza majina kama CCM waivyotangazwa, pii chadema watawezaje kutangaza majina ya mtu mahabusu Nusrat.
Kwani hapa Mahakamani au Polisi? Fuatilia huko NEC ili upate ushahidi zaidi.Bila ushahidi inakuwa aje?
Hahaha ndugu yangu ishu Hapa ni kuwa majina yaliopelekwa yamekuwa edited na mdee, akawatoa wale madem wa viongozi, ndio ugomvi wote huuSio malaika, ila sio kwenye hili fullstop.
Walikataa lino wewe? Walipokanusha kupokea hayo majina ni kabla au baada ya Novrmba 19?Mbona NEC walikataa kupokea majina toka Chadema!
Wewe naye huelewi wabunge wa viti maalumu wanateulewa kwa kujaza fomu sio barua hee mbona uwezo wako mdogoUmesoma vizuri barua ya NEC hapo juu? Au umeanza kuchangia bila kusoma barua ya NEC? Wanasema walipokea barua tarehe 19/11/2020.
Yani kughushi sahihi ni kosa kubwa kuliko makosa yote Tanzania? Na adhabu yake ni kunyongwa au kupigwa risasi?Hakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.
CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.
Basi endeleeni na msimamo wenuNa kwanini tumuamini huyo mahera yeye ni malaika?
Mimi kujua sheria kuliko wanasheria waliokaa chuo for 4 years au kutokujua sheria kuliko hao wanasheria waliokaa chuoni for 4 years haiondoi kifungu cha sheria za usimamizi wa uchaguzi kinachosema kuwa fomu zikishajazwa zipelekwe kama zilivyo.Wewe unaijua zaidi sheria kuliko hao wanasheria waliokaa chuoni for 4 years??
Labda kama hujui .... unapotaja cheo cha MTU ni lazima utaje na jina lakeKwani CHADEMA ina Makatibu Wakuu wangapi mkuu? Pia kumbuka Katibu Mkuu ni Ofisi siyo jina la mtu. Kuna ma signatories wanaoruhusiwa kusaini kwa niaba ya Katibu Mkuu labda ilisainiwa na Kiongozi mwingine wa CDM ambaye anayo mandate ya kusaini hiyo barua.
Kama wamegushi CHADEMA iwapeleke mahakamani.Wamegushi sahihi yake hawa wapuuzi kutafuta namna ya kujisafisha
Hapo case closed wale ni wabunge kamili hayo mengine ni kelele tukwahiyo we unamwamini mahera kana kwamba ni mungu siyo
Hahaha ndugu yangu ishu Hapa ni kuwa majina yaliopelekwa yamekuwa edited na mdee, akawatoa wale madem wa viongozi, ndio ugomvi wote huu
Sheria namba ngapi ili na mimi niisome. Au paste hapa ili tuisome wote mkuu.Mimi kujua sheria kuliko wanasheria waliokaa chuo for 4 years au kutokujua sheria kuliko hao wanasheria waliokaa chuoni for 4 years haiondoi kifungu cha sheria za usimamizi wa uchaguzi kinachosema kuwa fomu zikishajazwa zipelekwe kama zilivyo.
Sir nimekushusha vyeo vyote nilivyokupa humu jamvini.Nilishasema siasa ni zaidi ya ukahaba.
Usimwamini mwanasiasa yeyote.
Viongozi wenu wamekaa kimya bila kukanushaMwenye kuiamini nec nimpumbav. Kama hii nec ilikataa hakuna kura zilizokamatwa nje ya vituo vya kupiga kura basi nimpumbavu tena atakaeiamini NEC.
Who told you mkuu?Labda kama hujui .... unapotaja cheo cha MTU ni lazima utaje na jina lake
Ngoja Faru John arudi toka Nairobi aseme walipeleka hayo majina labda ndiyo utaamini wewe Mwanasaccos. Wakati mwingine tumia akili zako vizuri mkuu!!
Tunataarifa za kila kinachoendelea maigizo yote yanaeleweka yameanzia wapi na yataishia wapi.Haya sasa wanasaccos mnasemaje??