Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Mnyika amesema kuna nyama za kugushi saini yake, mbona hakutangaza majina kama CCM waivyotangazwa, pii chadema watawezaje kutangaza majina ya mtu mahabusu Nusrat.
Mmnyika anajua kila kitu, wanampaka lissu mafuta kwa mgongo wa chupa, hebu kuwa na angalau akili kidogo
 
Hakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.

CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.
Yani kughushi sahihi ni kosa kubwa kuliko makosa yote Tanzania? Na adhabu yake ni kunyongwa au kupigwa risasi?
 
Wewe unaijua zaidi sheria kuliko hao wanasheria waliokaa chuoni for 4 years??
Mimi kujua sheria kuliko wanasheria waliokaa chuo for 4 years au kutokujua sheria kuliko hao wanasheria waliokaa chuoni for 4 years haiondoi kifungu cha sheria za usimamizi wa uchaguzi kinachosema kuwa fomu zikishajazwa zipelekwe kama zilivyo.
 
Kwani CHADEMA ina Makatibu Wakuu wangapi mkuu? Pia kumbuka Katibu Mkuu ni Ofisi siyo jina la mtu. Kuna ma signatories wanaoruhusiwa kusaini kwa niaba ya Katibu Mkuu labda ilisainiwa na Kiongozi mwingine wa CDM ambaye anayo mandate ya kusaini hiyo barua.
Labda kama hujui .... unapotaja cheo cha MTU ni lazima utaje na jina lake
 
Endeleeni kupasuana makoo[emoji16][emoji16][emoji16].
kila mtu anaangalia tumbo lake
 
Hahaha ndugu yangu ishu Hapa ni kuwa majina yaliopelekwa yamekuwa edited na mdee, akawatoa wale madem wa viongozi, ndio ugomvi wote huu

Hapa unatetea au ndio unazidi kuharibu, Mdee anauwezo wa kwenda kuedit majina yaliyo tume, Mdee huyu huyu aliyeonekana na mabeg ya kura za wizi? Halafu unajifanya kutoka mishipa ya shingo kwa huu upuuzi ulioandika hapa?
 
Mimi kujua sheria kuliko wanasheria waliokaa chuo for 4 years au kutokujua sheria kuliko hao wanasheria waliokaa chuoni for 4 years haiondoi kifungu cha sheria za usimamizi wa uchaguzi kinachosema kuwa fomu zikishajazwa zipelekwe kama zilivyo.
Sheria namba ngapi ili na mimi niisome. Au paste hapa ili tuisome wote mkuu.
 
Ngoja Faru John arudi toka Nairobi aseme walipeleka hayo majina labda ndiyo utaamini wewe Mwanasaccos. Wakati mwingine tumia akili zako vizuri mkuu!!

Katibu Mkuu amesema hajapeleka majina, sasa unasema tumngoje mwenyekiti?
 
Back
Top Bottom