Nacheka Sana jinsi wee jamaa unavyobebwa hovyo na wanasiasa aisee inasikitisha sana.Tunasemaje ukimaanisha tuna imani na kinachosemwa na tume ama? Kama hiyo tume ilitoa matokeo ya kura za kwenye mabeg, sasa hii ndio it's sema ukweli? Cdm fukuza hao wahuni ili wao na tume wakajuane.
Sioni......Natamani nione Chadema watatumia sabuni gani kujisafisha kwenye hili.
Muda ni mwamuzi bora wakati wote.
Mmnamuogopa Mbowe mnakaa kuhangaika .Majna yanawasilishwa kwa fomu , si barua. Kuna fomu zinajazwa, wanaapa, hakimu anasaini etc.... stupid Mahela
Nipo hapa nasubiri kusikia chadema wamekwensa mahakamani.Kama wamegushi CHADEMA iwapeleke mahakamani.
mkuu unafikiri hayo hayajafanyika? Kamuulize Mbowe na MnyikaMajna yanawasilishwa kwa fomu , si barua. Kuna fomu zinajazwa, wanaapa, hakimu anasaini etc.... stupid Mahela
Hili linaonekana wazi.Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Walipokataa ilikuwa lini na majina wamepelekewa lini?Aliyekataa si huyo Nec hadharani
Anyway, bunge lote ni wabunge wa viti maalum, hakuna aliyechaguliwa na wapigakura. Nchi sasa inaongozwa kihuni na wahuniNEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Nawasubiri niwaone wanaelekea mahakamani.Yani kughushi sahihi ni kosa kubwa kuliko makosa yote Tanzania? Na adhabu yake ni kunyongwa au kupigwa risasi?
Dogo makizana kwanza na kina MdeeHivi kwa nini maccm mamwizi mazalisha ujinga yanaaminiwa sana na machizi?
Kama tume inaweza kughushi, so kuna tume hapo kweli?Kama wanachama wenu wana weza kugushiwa sahihi na wakakubali basi hakuna chama hapo.
Naona kama nimekuelewa ulichokielewa kutokana na maelezo ya hiyo barua ya NEC. Labda kama nimekuelewa tofauti.Tatizo ni kubwa kuliko tunavyolifikiria!
Watu wote wanakula hata walioko jela wanakula kama wewe.Endeleeni kupasuana makoo[emoji16][emoji16][emoji16].
kila mtu anaangalia tumbo lake
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Sir nimekushusha vyeo vyote nilivyokupa humu jamvini.
Naku-unfollow
Just wait for our press conference.Nawasubiri niwaone wanaelekea mahakamani.