Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Kwa akili za kawaida ulitegemea NEC ikinzane na Speaker na Mahakama???

Haipo hiyo
 
Kwanza hao kina Halina Mdee na wenzake ambao ni wajumbe wa kamati kuu. Sasa watuambie ni lini kamati kuu ilikaa na kupitisha hayo majina ambayo tume umesema kuwa iliyapokea kwa njia ya barua. Tume nayo ilipaswa kuwasiliana Kwanza na uongozi wa CHADEMA Haswa katibu mkuu Mnyika na kujiridhisha kwamba hiyo barua ni kweli imetoka kwao.

Naona Kama wanazidi kulikoroga. Hii movie naona CHADEMA wanaichelewesha. Pigeni chini Hawa watu, kabla ya jumatatu. Watakimbilia mahakamani mkashindwa kuwa wajibisha. Umma hoo nyuma yenu.
 
Naliona tatizo kubwa la mfumo katika taifa letu. Amri ya mfalme inatekelezwa kwa garama yeyote.Tumerudi zama za giza.
 
Then ww unapata faida gani
 
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana

Hii tume haiaminiki kutokana na historia yautendaji wake. Meya wa Ubungo alitolewa madarakani kwa barua ya kugushi ikiwaimebakia siku chache baraza la madiwani ubunge livunjwe.

Tume hiyo hiyo kupitia watendaji wake walijaribu kuchezea fomu ya mgombe uraisi wa ACT wazalendo Zanzibar kwa kubadili tarehe ya kiapo na aliyewasilisha pingamizi hilo lenye harufu ya jinaihakuchukuliwa hatua yoyote. Kila mtu bado anakumbuka hii tume ilivyoendesha uchguzi uliopita.
 
Muda zaidi ya huu?

Huu ni mwanzo tu.
Ni kweli cdm inawezakuwa walifanyiwa rafu kwenye uchaguzi, lakini wanavyoshughulika na hili la viti maalum na nikirejea na 2015, napata ukakasi.
 
Naona kama nimekuelewa ulichokielewa kutokana na maelezo ya hiyo barua ya NEC. Labda kama nimekuelewa tofauti.
Kama ulimsikiliza JJ Mnyika, then ukamsikia Halima Mdee akisema Mbowe aliwapigia simu wabunge wote na kuwapongeza kwa kuteuliwa utagundua kuwa mwenyekiti wa kamati kuu Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa NEC wanaongea lugha moja.

Swali ni kwamba kama Mnyika amekana kuandika barua NEC kwanini Mbowe aliwapongeza wabunge?

Mbowe na Mnyika wanapaswa kuhojiwa na Tume ya maadili ya viongozi.
 
Walipokosea tu NEC ni kupeleka Jina la Mtu aliyekuwa Gerezani.Ina maana fomu zake hazina sahihi,hajaapa mahakamni,hajafanyiwa criminal checker up,hajaangaliwa uraia wake.
 
Halafu utamsikia mtu anasema mkamtangulize mungu mbereee,naomba mniombee,uombewe na nani?
Unajua Sababu yakusema hivyo anataka kuwin wafia DINI maana huko wengi akili zao wanazijua wenyewe
 
Mkuu una miss point hapa wakuulizwa sio Mdee ni huyu aliendanika barua

Maswali yote ni kwa katibu mkuu wa chama
 
Huu ni mwanzo tu.
Ni kweli cdm inawezakuwa walifanyiwa rafu kwenye uchaguzi, lakini wanavyoshughulika na hili la viti maalum na nikirejea na 2015, napata ukakasi.
Hebu toa ushauri wako tuone
 
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Ndugu inachukua wiki kuwatoa nje vijana wa chadema kwa makosa madogo sana,,Haiwezekani kabisa kwamba NEC wapokee jina la mtu yuko jela miezi sita bila kuapa mahakamani wala sahihi yake.Kuna jambo kubwa tofauti tunavyofikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…