Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Safi kabisa mbona mkiitwa kwenye maandamano hamuendi?Lolote litakalo semwa na viongozi wetu wa Chadema, ni kweli na sisi hatuna shaka nalo
Inasikitisha sana watu wasomi kabisa lakini ajabu wanabuluzwa hovyo na wana siasa kiasi hiki!!Nyie wafia vyama vya siasa ndo mjielewe .Bora sisi wengine Tanzania ndo chama letu.
Sawa, tuwekee hiyo barua yenye orodha hapa, pamoja na fomu namba 8 ya uteuzi wa walioteuliwa na chama.Haya sasa wanasaccos mnasemaje??
Then ww unapata faida ganiKwanza hao kina Halina Mdee na wenzake ambao ni wajumbe wa kamati kuu. Sasa watuambie ni link kamati kuu ilikaa na kupitisha hayo majina ambayo time umesema kuwa iliyapokea kwa njia ya barua. Tume nayo ilipaswa kuwasiliana Kwanza na uongozi wa CHADEMA Haswa katibu mkuu Mnyika na kujiridhisha kwamba hiyo barua ni kweli imetoka kwao.
Naona Kama wanazidi kulikoroga. Hii movie naona CHADEMA wanaichelewesha. Pigeni vhini Hawa watu, kabla ya jumatatu. Watakimbilia mahakamani mkashindwa kuwa wajibisha. Imma hoo nyuma yenu.
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Muda zaidi ya huu?
Mahera atafungwa bila shaka yoyote , hata kama siyo keshoNEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Kama ulimsikiliza JJ Mnyika, then ukamsikia Halima Mdee akisema Mbowe aliwapigia simu wabunge wote na kuwapongeza kwa kuteuliwa utagundua kuwa mwenyekiti wa kamati kuu Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa NEC wanaongea lugha moja.Naona kama nimekuelewa ulichokielewa kutokana na maelezo ya hiyo barua ya NEC. Labda kama nimekuelewa tofauti.
Unajua Sababu yakusema hivyo anataka kuwin wafia DINI maana huko wengi akili zao wanazijua wenyeweHalafu utamsikia mtu anasema mkamtangulize mungu mbereee,naomba mniombee,uombewe na nani?
Mkuu una miss point hapa wakuulizwa sio Mdee ni huyu aliendanika baruaKwanza hao kina Halina Mdee na wenzake ambao ni wajumbe wa kamati kuu. Sasa watuambie ni lini kamati kuu ilikaa na kupitisha hayo majina ambayo tume umesema kuwa iliyapokea kwa njia ya barua. Tume nayo ilipaswa kuwasiliana Kwanza na uongozi wa CHADEMA Haswa katibu mkuu Mnyika na kujiridhisha kwamba hiyo barua ni kweli imetoka kwao.
Naona Kama wanazidi kulikoroga. Hii movie naona CHADEMA wanaichelewesha. Pigeni chini Hawa watu, kabla ya jumatatu. Watakimbilia mahakamani mkashindwa kuwa wajibisha. Umma hoo nyuma yenu.
Hebu toa ushauri wako tuoneHuu ni mwanzo tu.
Ni kweli cdm inawezakuwa walifanyiwa rafu kwenye uchaguzi, lakini wanavyoshughulika na hili la viti maalum na nikirejea na 2015, napata ukakasi.
Kwanini mwenyekiti wa kamati kuu Freeman Mbowe aliwapongeza akina Mdee kwa kuteuliwa na kuwataka wakale kiapo bungeni?Mahera atafungwa bila shaka yoyote , hata kama siyo kesho
Hebu toa ushauri wako tuone
Ndugu inachukua wiki kuwatoa nje vijana wa chadema kwa makosa madogo sana,,Haiwezekani kabisa kwamba NEC wapokee jina la mtu yuko jela miezi sita bila kuapa mahakamani wala sahihi yake.Kuna jambo kubwa tofauti tunavyofikiriTatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana