Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujamuona mgombea wenu anapiga hadii magoti Hali tete zile spana si za nchi hii amepigwa spana Hadi kuomba poo na kwenda garage kurekebisha nati nati bolti zilizolegea.Hadi marefa kina mahera na Igp kuingia kuokoa jahaziSiyo Lowasa wa kumuachia Mungu?
Atafanya nini sasa? Acheni ujinga!
Lisu hana kura za kuifanya tume kupindisha matokeo, hana, atapata chini ya 20%
Mtu wenu kafeli sana! Hata wale waliokuwa na imani nae wamesharudi nyuma kwamba kumbe wanamchagua Amsterdam na si Lisu
Nguvu ya mabadiliko huwa haitegemei kadi ya kuraSijui natamani wangekuwa wanauliza hao wanaofurika kama wana kadi za mpiga kura na ingekuwa kushangiliwa ndio kushinda team za mpira zisingeshida ugenini
Basi hongereni kwa ushindi wanachademaUjamuona mgombea wenu anapiga hadii magoti Hali tete zile spana si za nchi hii amepigwa spana Hadi kuomba poo na kwenda garage kurekebisha nati nati bolti zilizolegea.Hadi marefa kina mahera na Igp kuingia kuokoa jahazi
Kijana aliyezaliwa 1995 hajui hayo mafuriko ya Mrema.sa hizi ni ana miaka 25,in mpiga kura mwaka huu,na ana elimu ya chuo ameelimika usimweleze huu utopolo wako,na hawa ndio wana mwamko na mabadiliko,wamezaliwa wakakuta mfumo Wa vyama vingi.wengi wanaochukia ccm maana kwa miaka hii mitano wengi walinyimwa mikopo kosa wamesoma shule za private nk.Unamkumbuka Agustino mrema, seifu,w.slaa na lowasa na bado walipigwa chini
Wewe utakuwa mgeni kwenye siasa za bongo
lowassa alishinda ule uchaguzi lakini alitangazwa mwingine hivyo umakini unahitajika zaidi katka huu uchaguziMafuriko yake yanazidi yale ya Lowassa?
Je wanaokuja tena kwa idadi ndogo ni wapigakura?
Sisi wapiga kura tupo majumbani tunasubiri tarehe tukampigie Magu tena
Upuuzi mtupu. Mafuriko kama yanasaidia ya Mrema na Lowassa yangewafanya ma Rais zamani. Watu hatuchagui mafuriko, tunachagua Sera.Ni muda Sasa NEC kupitia picha na video kurudia rudia mafuriko na mikutano ya Lissu kusoma alama za nyakati. Mikutano ambayo haipewi matangazo ya kutosha, mikutano isiyorushwa live, mikutano isiyopewa kipaumbele kwenye taarifa za habari redioni, magazetini na vituo vya televisheni, mikutano isiyo na makundi makubwa ya wasanii, mikutano isiyokuwa na wanafunzi wanaolazimishwa kufunga shule na mikutano isiyo na mabasi na malori ya kusomba watu. Mtu anayepita na kuomba michango kuendesha kampeni kubwa ya kutisha. Mtu aliyekosa mabango makubwa, lakini umashuhuri na nyomi Ni wali wa kushiba mfungwa aliyetoka jela.
Kama NEC watakuwa makini Basi wasichezee hisia za umma. NEC watimize wajibu wao Kama wasimamizi wakuu wa uchaguzi unaoelezwa Ni wa kihistoria. Juhudi au njama za kutaka au kuwaza kupindua matokea haiwezi kuvumiliwa na umma wa wapenda amani. Hili zoezi linaweza kuingia doa endapo tu hiyo NEC ikaboronga kwa namna itakavyoshindwa kuusimamia vizuri.
Yapo Mambo mengi ambayo yanasemwa na kauli hizi sijui kwa Nini NEC haijazisikia na kutoa ufafanuzi. Upo uvumi usiothibitishwa kuwa CCM kupitia kwa makatibu wakuu wake wanakutana na makundi ya watumishi na kuwahimiza waombe kusimamia uchaguzi kwa lengo la kubadili matokeo vituoni. Kama hili wazo lipo Basi wahusika wakome Mara moja kuendelea kuratibu huo hujuma na NEC wapeleleze na kukemea au kutoa onyo.
Kwa namna wapiga kura walivyo watulivu na kuhudhuria kampeni za Lissu na Magufuli basi ni wazi uchaguzi huu ni vuta nikuvute. Nia mbaya za upendeleo hazitavumilika, kauli na uvumilivu Ni kitu muhimu Sana. Siyo busara kwa NEC kusema ukiukwaji na taratibu watumie nguvu za kipolisi Kama ilivyotumika Nyamongo. Muda Fulani kwa sababu za kijografia Ni kuketi na wadau meza moja kutazama juu ya ratiba.
Polisi wakae Kando maana kujikuta uko kituo A badala ya B siyo makusudi Bali Ni kosa la kawaida tu. Hivyo isije kuwa suluhu ya polisi na NEC Ni kuagiza watu kupigwa mabomu. Uchaguzi huru, Kama umakini utakuwepo utawezekana. Vifaa visambazwe mapema na mawakala wote wapewe fomu na kuruhusiwa kusimamia vyama vyao. Itambulike eneo muhimu Ni hapa kwenye vifaa na mawakala toka vyama vyote.
Uchaguzi na maandalizi mema. Niwatakieni busara na lugha Safi wagombea. Si kila tuhuma dhidi ya NEC Ni tusi au khasifa Bali Ni maono ya njama zilizopita. Pia NEC irahisishe rufani za wagombea waliobaki kwa kuwekewa pingamizi. Hii inaichafua NEC kitaifa na kimataifa, haikuwahi kutokea wakati wa kina Mkapa na Kikwete Sasa iweje kipindi hiki?
Uoga wa CCM isije kutafasiriwa kuwa Ni kutaka kubebwa na NEC . Kikubwa Ni kuwa atakayeshindwa ndiye atangazwe toka kituo Cha kupigia kura Hadi kituo Cha kutolea matokeo. Vyama pia visiingiliwe kwenye talling centres zao. Waachwe kuwa huru maana Ni haki yao kuwa na matokeo na kufuatilia vyama vyao. Narudia polisi na watumishi toka NEC wasikipendelee chama Chochote.
Amani idumu Tanzania
Uko sahihi kabisa. Hata NEC ingekuelewa au ingeelewa kama wewe, haingekua na haja ya kupata hiyo hofu. Mafuriko yenyewe yanayokua kwa Lissu ni madogo, pia hao wanaokusanyika kwa Lissu siyo wapiga kura. Ungefanya utaratibu wa kuwatuliza NEC kwamba huyu mtu hana madhara, watulie tu.Mafuriko yake yanazidi yale ya Lowassa?
Je wanaokuja tena kwa idadi ndogo ni wapigakura?
Sisi wapiga kura tupo majumbani tunasubiri tarehe tukampigie Magu tena
Acha dharau. We unaona Tl ana busara za Lowasa? Unadhani viongozi wako wasingekaa na kukubaliana na Lowasa atulize wafuasi wake ingekuwaje? Hatari ya machafuko IPO na ni kubwa na watu hawalali wakihakikisha hayatokei.Mafuriko yake yanazidi yale ya Lowassa?
Je wanaokuja tena kwa idadi ndogo ni wapigakura?
Sisi wapiga kura tupo majumbani tunasubiri tarehe tukampigie Magu tena
Sijui kwa nini NECCCM hawasomi alama za nyakati,hawakuona kule nyamongo watu walipigwa mabomu na hawakukimbia.watu wengi wanatamani utawala huu Wa ccm uondoke.NEC wakiharibu uchaguzi itawagharimu... Watu hawana uoga ktk kudai haki.... Haki aiombwi haki inadaiwa..
Mwaka huu uchaguzi huu,asipoangalia huyo uchwara,uchaguzi huu utamshangaza watu wanaweza wasiikubali kuibiwa kura zao.Mark My words.MAGUFULI =NEC
"Magufuli aliwahi kisema Mimi mtu akinishauri ndio ameharibu kabisa maana sitofanya anacho nishauri"
"Aliwaambia wakurugenzi.
Nimekupa kazi.
Nimekupa mshahara.
Nakupa gari zuri.
Nakuapa posho.
Nakupa Nyumba bado unaenda kutangaza ushindi kwa mpinzani iiii??????"
MSITEGEMEE KUWA NA UCHAGUZI WA KIDEMOKRASIA SI RAHISI KIASI HICHO TUNA RAIS DIKTETA YEYE NDIO KILA KITU ALFA NA OMEGA.
Uko sawa kabisaLissu siyo tishio bwashee!
Mjinga katika ubora wakoAcha dharau. We unaona Tl ana busara za Lowasa? Unadhani viongozi wako wasingekaa na kukubaliana na Lowasa atulize wafuasi wake ingekuwaje? Hatari ya machafuko IPO na ni kubwa na watu hawalali wakihakikisha hayatokei.