Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Anahamasisha chuki na vurugu nchini.Uko sahihi kabisa. Hata NEC ingekuelewa au ingeelewa kama wewe, haingekua na haja ya kupata hiyo hofu. Mafuriko yenyewe yanayokua kwa Lissu ni madogo, pia hao wanaokusanyika kwa Lissu siyo wapiga kura. Ungefanya utaratibu wa kuwatuliza NEC kwamba huyu mtu hana madhara, watulie tu.
Kumuacha afanye atakavyo ni kujiweka rehani