UKIKOSEA SPELLING TUU TUNAKUKNOCKOUT, MAANA UTAKUWA UNAUDHALILISHA UMMA WA WATANZANIA KUTOJAZA FOMU YAKO KWA UMAKINIKwani Kuna wagombea vichaa?
Kama mgombea kiti cha urais hawezi kujaza fomu kwa usahihi, hafai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKIKOSEA SPELLING TUU TUNAKUKNOCKOUT, MAANA UTAKUWA UNAUDHALILISHA UMMA WA WATANZANIA KUTOJAZA FOMU YAKO KWA UMAKINIKwani Kuna wagombea vichaa?
Kama mgombea kiti cha urais hawezi kujaza fomu kwa usahihi, hafai
Wanawapa semina ya kutosha wagombea waoUjinga wa tume za kipuuzi kwenye hizi shithole countries, utakuta wanaokosea wote ni kutoka upinzani ila miccm form zao huwa hawakosei hata siku moja
Hazipendezi na zinaashiria mwanzo wa jammbo fulani lisilopendeza!Tume makini ingesema kuwa wagombea wanaweza kupata ushauri kutoka kwa Tume kuhusu ukamilifu wa fomu zao. Ili kulinda demokrasia, ni wajibu wa Tume kuhakikisha wagombea wengi iwezekanavyo wanapata fursa ya kugombea.
Ningetegemea msimamizi anapo pokea fomu aipitie pamoja na mgombea na kumpa nafasi ya kusahihisha dosari zozote zinazoonekana kabla ya dirisha kufungwa.
Lugha za tusilaumiane hazipendezi.
Amandla....
Da jamaa wewe una akili na Roho nziri Sana.Aliyekuambia kujaza fomu ni kama kufanya mtihani nani? Kujaza fomu ni swala la kuelekezana tu na wala halitakiwi kuwa swala la kukomoana. Unapolilinganisha na mtihani unataka kutuaminisha kuwa kwenye kujaza fomu ndio uchaguzi wa wananchi. Acheni kuanza kutengeneza mazingira ya kuhujumu upinzani kabla hata ya kura kupigwa.
Tume makini ingesema kuwa wagombea wanaweza kupata ushauri kutoka kwa Tume kuhusu ukamilifu wa fomu zao. Ili kulinda demokrasia, ni wajibu wa Tume kuhakikisha wagombea wengi iwezekanavyo wanapata fursa ya kugombea.
Ningetegemea msimamizi anapo pokea fomu aipitie pamoja na mgombea na kumpa nafasi ya kusahihisha dosari zozote zinazoonekana kabla ya dirisha kufungwa.
Lugha za tusilaumiane hazipendezi.
Amandla....
Naam! Ni sahivi kutoa copy, au ku-scan fomu iliyojazwa kabla ya kuirudisha ili kubaki na nakala ngumu/ na laini kwa ajili ya kuja kuwaumbua mawakala wa shetani waliohujumu wagombea wa upinzani mwaka 2019 katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni vyema pia kuweka ushahidi wa video wa makabidhiano ya fomu, maana mawakala wa shetani wameshapokea maelekezo wazichome fomu waseme hawajapokea, mwaka huu tutaenda sambasamba mpaka home "nait kali" tutawazukia ikibidi
Hahahaaaaaaaa kukosea ndio moja ya kuonesha huwezi kazi.
Mtuhakikishie kuwa wakurugenzi wa halmashauri hawatakimbia ofisi zao wakati wa kuchukua na kurudisha fomu, maana tunajua utawala wa awamu ya 5 ni waoga sana wa uchaguzi.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imevitaka vyama vya siasa kuchagua watu makini ili kuepusha migogoro baina yao na Tume, pindi wanapotakiwa kukamilisha mchakato wa kupitisha majina ya wagombea.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Semistocles Kaijage, wakati akizungumza na wadau wa vyama hivyo leo Agosti 1, 2020, jijini Dar es salaam, ambapo wamejadili Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, na mambo ya kuzingatiwa.
Amesema kuwa fomu za uteuzi zitaanza kutolewa Agosti 5, 2020, kwenye makao makuu ya ofisi za Tume jijini Dodoma kwa wagombea wa kiti cha Urais huku Wabunge na Madiwani watafuata fomu hizo katika makao makuu ya Halmashauri ya Majimbo na Kata husika.
“Fomu zitaanza kurejeshwa muda wowote pindi mgombea anapomaliza kujaza kwa usahihi hadi Agosti 25 saa 10 jioni, ambayo ndiyo itakuwa siku ya uteuzi, naomba mjaze kwa usahihi bila dosari yoyote ili usijekosa sifa na usiteuliwe na kuanza lawama”, amesema Jaji Kaijage.
Jaji Kaijage ameongeza kuwa, “Wale wote wenye malalamiko na tume tunaomba mtuletee wenyewe tutayafanyia kazi, ila sio kulalamikia mitandaoni hatutajihusisha na malalamiko ya mitandaoni”.
Ameongeza kuwa Tume imekamilisha uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ambapo waliojiandikisha ni zaidi ya Milion 29 na kusisitiza kampeni za uchaguzi kwa Zanzibar zitaisha Oktoba 26,2020 ili kupisha upigaji kura ya mapema ya Rais wa Zanzibar, Mwakilishi na Diwani.
Ndiyo,CHADEMA kuna mgombea chizi.Kwani Kuna wagombea vichaa?
Kama mgombea kiti cha urais hawezi kujaza fomu kwa usahihi, hafai
Huu ni mtego wa panya sitoshangaa ya UCHAGUZI SM YAKIJIRUDIA UCHAGUZI MKUU...Tume makini ingesema kuwa wagombea wanaweza kupata ushauri kutoka kwa Tume kuhusu ukamilifu wa fomu zao. Ili kulinda demokrasia, ni wajibu wa Tume kuhakikisha wagombea wengi iwezekanavyo wanapata fursa ya kugombea.
Ningetegemea msimamizi anapo pokea fomu aipitie pamoja na mgombea na kumpa nafasi ya kusahihisha dosari zozote zinazoonekana kabla ya dirisha kufungwa.
Lugha za tusilaumiane hazipendezi.
Amandla....
Inamaana hao wa Nchi zilizoendelea Walimu huwasaidia hadi kujibu mitihani?Mfano wako mzuri sana. Nchi zilizoendelea mwalimu anahakikisha wanafunzi wana vifaa vya kuandikia. Na anakueleza mahitaji ya swali kwa sababu lengo la mtihani sio kukufelisha bali kupima uelewa wako.
Ndio maana mara nyingi unaruhusiwa kuingia na vitabu na calculator kwenye mtihani. Kwenye uchaguzi hatutafuti bingwa wa kujaza fomu bali mtu ambae wananchi wataona anafaa kuwawakilisha na kuwapigania.
Kumtoa mgombea kwa sababu ameandika Fundi Mchundo badala ya F Mchundo sio haki.
Amandla...
Angalia waweza kuwa unataka sifa au unasifiwa... ila ukichunga mdomo wako yaweza kuwa vema ili usitukanishe watu wenye hishma zao.Ndiyo,CHADEMA kuna mgombea chizi.
Sijasema hivyo. Wanachofanya ni kuwaeleza wanafunzi mahitaji ya mtihani. Kwa mfano, kama mwanafunzi anatakiwa kutumia penseli badala ya peni kujibu maswali atawaambia hivyo na atahakikisha kila mwanafunzi ana penseli, na akikuona una tumia peni atakwambia usitumie na atakupa penseli. Kama mwanafunzi anatakiwa kuandika namba badala ya jina, atakusahihisha akiona umeandika jina lako. Hatakusaidia kujibu maswali kwa sababu hata kama umekosea kujibu swali ushiriki wako katika mtihani utatambulika.Inamaana hao wa Nchi zilizoendelea Walimu huwasaidia hadi kujibu mitihani?