NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

Hujui kua Mshana Jr ni mpiga ramli chonganishi tu
 
Kwangu attachment ilikuwa haionekani ila ndio naiona sasa.
Kati ya maboya ya Chadema ni huyu tindo ,hata Lissu akisema treni alijenga mkoloni analipuka kama vile ni point,hana akili. Ona ishu ya Jamana ilivyowaumbua.
 
Mi nadhani watu wa Manunuzi katika taasisi yeyote ambao wanadili na Serikali wanajua namna ya kuomba tenda na kufatilia Kama wameshinda au laa. Na Kama CDM wangekua na wataalam hao na wakawashirikisha Basi wasingekuja kulalama kuhusu hii kitu.
Umesoma Tangazo vizuri?
 
Kati ya maboya ya Chadema ni huyu tindo ,hata Lissu akisema treni alijenga mkoloni analipuka kama vile ni point,hana akili. Ona ishu ya Jamana ilivyowaumbua.

Imetuumbua kwa lipi, umekosa mume huko kwenye kampeni za ccm kwa ajili ya mvua, ndio unakuja kunifokea? Ngiri jike ww.
 
Imetuumbua kwa lipi, umekosa mume huko kwenye kampeni za ccm kwa ajili ya mvua, ndio unakuja kunifokea? Ngiri jike ww.
Ahaaaaa,mwaka huu mtakuwa na hasira sana,we si ulishupaza kiuno kuwa kuna kura za wizi JAMANA printers.
 
Ndiyo maana CDM hawaishiwi kesi Kisutu.

Hapo Jamana Printers wakimburuza Mnyika kortini kuna watu wataibuka na kutubania pua humu.
 
Hakika tume imeeleza vizuri..
Wapinzani wajitajitahidi kuzungumza kwa data na waache upoyoshaji wa Mambo ya msingi kama hayaa...
Walete hoja zenye mashiko na washindane kwa hoja na sio vihoja na Propaganda za ajabu.
 
Aibu kubwa kwa Chadema na bwege kama tindo kushabikia upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…