NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

Mshana Jr uzi wako wa Jamana Printers unasimama wapi. Tukiweka siasa pembeni na kutazama kisomi umeelezewa taratibu zilivyofanyika sasa ndo sijui ni za ukweli au za magumashi ila suala la Jamana uliingia mkenge. Taarifa zenye ushahidi kama hizi ukianzisha uzi ilimradi unakamatika, hii ni tofauti na uchawi ambao hatuwezi prove ukweli au uongo.
Hujui kua Mshana Jr ni mpiga ramli chonganishi tu
 
Mi nadhani watu wa Manunuzi katika taasisi yeyote ambao wanadili na Serikali wanajua namna ya kuomba tenda na kufatilia Kama wameshinda au laa. Na Kama CDM wangekua na wataalam hao na wakawashirikisha Basi wasingekuja kulalama kuhusu hii kitu.
Umesoma Tangazo vizuri?
 
Kati ya maboya ya Chadema ni huyu tindo ,hata Lissu akisema treni alijenga mkoloni analipuka kama vile ni point,hana akili. Ona ishu ya Jamana ilivyowaumbua.

Imetuumbua kwa lipi, umekosa mume huko kwenye kampeni za ccm kwa ajili ya mvua, ndio unakuja kunifokea? Ngiri jike ww.
 
Imetuumbua kwa lipi, umekosa mume huko kwenye kampeni za ccm kwa ajili ya mvua, ndio unakuja kunifokea? Ngiri jike ww.
Ahaaaaa,mwaka huu mtakuwa na hasira sana,we si ulishupaza kiuno kuwa kuna kura za wizi JAMANA printers.
 
Ndiyo maana CDM hawaishiwi kesi Kisutu.

Hapo Jamana Printers wakimburuza Mnyika kortini kuna watu wataibuka na kutubania pua humu.
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Hakika tume imeeleza vizuri..
Wapinzani wajitajitahidi kuzungumza kwa data na waache upoyoshaji wa Mambo ya msingi kama hayaa...
Walete hoja zenye mashiko na washindane kwa hoja na sio vihoja na Propaganda za ajabu.
 
Aibu kubwa kwa Chadema na bwege kama tindo kushabikia upuuzi
 
Back
Top Bottom