Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kua Mshana Jr ni mpiga ramli chonganishi tuMshana Jr uzi wako wa Jamana Printers unasimama wapi. Tukiweka siasa pembeni na kutazama kisomi umeelezewa taratibu zilivyofanyika sasa ndo sijui ni za ukweli au za magumashi ila suala la Jamana uliingia mkenge. Taarifa zenye ushahidi kama hizi ukianzisha uzi ilimradi unakamatika, hii ni tofauti na uchawi ambao hatuwezi prove ukweli au uongo.
Mbona Lissu alipiga kinyaturu hamkusema?Ameshindwa kukemea wanaccm wakati wanapiga Kisukuma kwenye kampeni ni aibu tupu
Kati ya maboya ya Chadema ni huyu tindo ,hata Lissu akisema treni alijenga mkoloni analipuka kama vile ni point,hana akili. Ona ishu ya Jamana ilivyowaumbua.Kwangu attachment ilikuwa haionekani ila ndio naiona sasa.
Kufanya siasa za hisia ni upuuzi.Huwezi kuelewa mipango ya wenye akili mwaka huu. Tunajua Kuna karatasi za kura za ziada zinachapishwa. Sasa NEC wajiandae tu yajayo yatafurahisha zaidi!!
Umesoma Tangazo vizuri?Mi nadhani watu wa Manunuzi katika taasisi yeyote ambao wanadili na Serikali wanajua namna ya kuomba tenda na kufatilia Kama wameshinda au laa. Na Kama CDM wangekua na wataalam hao na wakawashirikisha Basi wasingekuja kulalama kuhusu hii kitu.
Kati ya maboya ya Chadema ni huyu tindo ,hata Lissu akisema treni alijenga mkoloni analipuka kama vile ni point,hana akili. Ona ishu ya Jamana ilivyowaumbua.
Ahaaaaa,mwaka huu mtakuwa na hasira sana,we si ulishupaza kiuno kuwa kuna kura za wizi JAMANA printers.Imetuumbua kwa lipi, umekosa mume huko kwenye kampeni za ccm kwa ajili ya mvua, ndio unakuja kunifokea? Ngiri jike ww.
Ahaaaaa,mwaka huu mtakuwa na hasira sana,we si ulishupaza kiuno kuwa kuna kura za wizi JAMANA printers.
Kwa hiyo Jamana wanachapa karatasi we pimbi?Unauliza au unapigia jibu mstari?
Kwa hiyo Jamana wanachapa karatasi we pimbi?
Nataka kukuambia kuwa wewe ni mbulula usiejua kitu,bali unashabikia kelele tu.Unatakaje ww K..
Mama majaliwa dhibitisha usemayo.Nataka kukuambia kuwa wewe ni mbulula usiejua kitu,bali unashabikia kelele tu.
Acha dharau kenge wewe.Mama majaliwa dhibitisha usemayo.
Acha dharau kenge wewe.
We fala wewe nakueleza ukweli acha matusiNaona umekosea basha wa kumfuata umeishia kujichanganya kwangu.
Hakika tume imeeleza vizuri..Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Aibu kubwa kwa Chadema na bwege kama tindo kushabikia upuuziHakika tume imeeleza vizuri..
Wapinzani wajitajitahidi kuzungumza kwa data na waache upoyoshaji wa Mambo ya msingi kama hayaa...
Walete hoja zenye mashiko na washindane kwa hoja na sio vihoja na Propaganda za ajabu.