Uchaguzi 2020 NEC yakubali rufaa 47 nyingine za Udiwani

Uchaguzi 2020 NEC yakubali rufaa 47 nyingine za Udiwani

Iongeze na muda wa kampeni ili tuendelee kumsikia mgombea na data za ma barabara.
 
KWA MUJIBU WA TUME KUNA KATA (2) ZA BUNJU KATKA JMBO LA KAWE.
KWA MUJIBU WA TUME KUNA KATA (2) ZA DAKAWA KATKA JMBO LA MVOMERO.
 
Nawaomba Sana Watanzania wote kwa pamoja tuipongeze Sana , Sana Tume hii ya Uchaguzi ! Nina imani kubwa Sana na Mheshimiwa Kaijage pamoja na Mkurugenzi wa Tume Dr Mahera ! MUNGU awabariki Sana Wajumbe wote wa Tume .
Kutimiza wajibu wake anahitajika kupongezwa?? Haya ndio yanayokea hata kwa magufuli kufikilia kuwapelekea wananchi maendeleo nikutaka kwake!!! Ktk kutimiza wajibu wa majukumu yanayokuhusu huhitaji kupongezwa.
 
Hakuna wakati tume imeshindwa kufanya kazi zake kwa weledi. Ni mihemuko ya wapinzani walikuwa hawatati kufuata taratibu za kisheria kama walivyofanya safari hii. "USIPO RIDHIKA NA MAAMUZI ya ngazi ya chini Unakata RUFAA" badala yake walikuwa wanaweka mpira kwapani.
Hiyo tume iliyojaa Makada wanaofanya mambo kishabiki wakishirikiana na Chama twawala ili kurahisisha ushindi.
 
Nawaomba Sana Watanzania wote kwa pamoja tuipongeze Sana , Sana Tume hii ya Uchaguzi ! Nina imani kubwa Sana na Mheshimiwa Kaijage pamoja na Mkurugenzi wa Tume Dr Mahera ! MUNGU awabariki Sana Wajumbe wote wa Tume .
Wote unaowapongeza wanakadi za chama tena numbezao nikuanzia 26 mpaka 45 kwahiyo waonyesha hao ni makada wa mwanzo ukitoa nyereere na mwinyi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ifeke mahali haya mambo ya kujaza form na kuenguliwa wagobea yaishe. Watu waende majukwaani kwa wananchi wakashindane kwa hoja na sera baadala ya watu kutafuta ushindi wa mezani. Utaratibu wetu wakutafuta wagombea uboreshwe. mtu hata akikosea kujaza formu apewe nyingine asahihishe alimradi sifa anazo. kigezo cha kukosea kujaza form kisiwe ndio sababu yamsingi kumuengua mtu.
 
Ho grp la( ii) lililokataliwa la wagombea ambao hawakuteuliwa ni lipi ?
 
Tume bwana eti Mgombea anaporwa fomu mbele ya ofsi za NEC na wanakaa kimya. Huu uhuni mwisho ni 2020. Na watawarudisha tu watake wasitake.

Sec Pompeo kashafanya yake.
Mimi huwa sielewi, ni nani mteja wa hizi fomu zinapoporwa? Fomu Moja inanunuliwa kwa Shilingi ngapi?
 
NEC walisema leo ndio mwisho wa hilo zoezi, sasa kuliko kuendelea kupoteza muda nawashauri waachie wote walioenguliwa wakashindane kwenye sanduku la kura, hii chambua wanayoifanya kama mchele na chuya haina maana, wapiga kura ndio wenye uamuzi wa mwisho sio NEC
 
Kutimiza wajibu wake anahitajika kupongezwa?? Haya ndio yanayokea hata kwa magufuli kufikilia kuwapelekea wananchi maendeleo nikutaka kwake!!! Ktk kutimiza wajibu wa majukumu yanayokuhusu huhitaji kupongezwa.
Nasikia wanalala kwenye ofisi za NEC,ukitoka husikilizwi?
 
Back
Top Bottom