MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Halafu kuna TAGA moja tokea jana limeshikilia CHADEMA haina mawakala!! Ukatili wa Magufuli umewajenga chuki kubwa kwa wananchi dhidi ya utawala wa Magufuli. Hata hao unaowaona wamevalishwa nguo za kijani na kujaza mikutano ya Magufuli ni wachache sana wanaounga mkono vitendo vyake, wanaweza kuwa tayari kuwa mawakala wa CDM!!! Magufuli amewachosha na kuwachefua waTz. Nguvu ya umma ni kubwa na kwa hakika NECcm ikifanya figusi itakiona.Huku ni kuendesha uchaguazi kizamani sana. Tanzania tuna matatizo gani? Walipokuwa wanapanga hawajuwa wako wengi? Bila kukinukisha hii nchi hawa watawala uchwara watakuwa wanajiona wana uwezo wa kutuchezea wanavyotaka. Magufuli anaongoza nchi kwa kutumia style za wakati wa Mobutu.