Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

Huku ni kuendesha uchaguazi kizamani sana. Tanzania tuna matatizo gani? Walipokuwa wanapanga hawajuwa wako wengi? Bila kukinukisha hii nchi hawa watawala uchwara watakuwa wanajiona wana uwezo wa kutuchezea wanavyotaka. Magufuli anaongoza nchi kwa kutumia style za wakati wa Mobutu.
Halafu kuna TAGA moja tokea jana limeshikilia CHADEMA haina mawakala!! Ukatili wa Magufuli umewajenga chuki kubwa kwa wananchi dhidi ya utawala wa Magufuli. Hata hao unaowaona wamevalishwa nguo za kijani na kujaza mikutano ya Magufuli ni wachache sana wanaounga mkono vitendo vyake, wanaweza kuwa tayari kuwa mawakala wa CDM!!! Magufuli amewachosha na kuwachefua waTz. Nguvu ya umma ni kubwa na kwa hakika NECcm ikifanya figusi itakiona.
 
Wewe unafikiri hao wangefanya nini?
Hako kamkurugenzi kako ka ccm kangechezea vitasa mpaka kaite polisi.

Na siku hizi nasikia mapolisi wamechoka kuwapigania maccm!

Sijui mtapiganiwa na nani this time round! Duh.
 
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Yaani maccm ni mepesi Sana kwenye shinikizo za kichapo fasta wanapanua mapaja.Ukikuta sehemu mpinzani kashinda Ila wamemtangaza wa ccm ujue wananchi ndio walizembea ,hawa mkikaa standby kwenye vitega uchumi vyao ikiwemo familia mbona fasta wanaachia,mapolisi hawawezi kuwepo kila mahali
 
Jamaa zako hawajavunja watu miguu siku nyingi. Alafu kumbuka Mnyaturu ana tiketi tayari kurudi kwao.View attachment 1607467
Weweeeeeee... Hiiiiiiiiiiiii ngoja nicheke kisukuma.

Hao migambo wako dhaifu tunawalipa sisi wananchi.

Hii nchi sio ya magufuli wala genge la ccm.

Tunalo jeshi la wananchi, sio jeshi la ccm wala jeshi la magufuli. Msijaribu kutumia jeshi kuwaua wananchi. KAMWE MSIJARIBU WALA KUWA NA HIYO NDOTO.

Kama siasa zimewashinda kaeni kando. Jeshi halipo kwa ajili ya kulinda genge la watu waliokosa ridhaa ya wananchi.

Siasa zimekushinda kaa kando uache kujificha ficha kwenye sketi za polisi.
 
Kiukweli tuna tume mbovu kwelikweli.Bado wakurugenzi watawazuia mawakala wa upinzani kuingia kwenye vituo vya kupigia kura.Lengo kuu ni kuiba kura
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo

Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
Sababu kubwa ni kutokuwa huru katika utendaji wake. Wanafanya kazi kwa shinikizo la CCM. Hali hii inawavuruga sana.
 
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Tatizo ni barua za utambulisho kwa wasimamizi wa vituo. Wengi wao hawatapewa.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo

Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
Hii tume imetunga kanuni mbovu sana za uchaguzi...
 
Acheni kuona mapungufu kwa jicho moja; Tume haina wafanyakazi wake katika ngazi za chini; wanaotumika ni waajiriwa ambao wanawajibika zaidi kwa "immediate boss" hivyo ni rahisi kupokea maelekezo nje ya "Bosi wa NEC". Hao wasimamizi wa uchaguzi waliotoka kwa mwajiri mwingine hata akivuruga NEC haina mamlaka nao, ila wakienda kinyume na mabosi wao kule walikotoka, ajira zao ziko mashakani na hapa ndipo tatizo lilipo.
Kakojoe ulale.Hujui undani wa mambo. Hatuhoji kitoto hapa.
 
Weweeeeeee... Hiiiiiiiiiiiii ngoja nicheke kisukuma.

Hao migambo wako dhaifu tunawalipa sisi wananchi.

Hii nchi sio ya magufuli wala genge la ccm.

Tunalo jeshi la wananchi, sio jeshi la ccm wala jeshi la magufuli. Msijaribu kutumia jeshi kuwaua wananchi. KAMWE MSIJARIBU WALA KUWA NA HIYO NDOTO.

Kama siasa zimewashinda kaeni kando. Jeshi halipo kwa ajili ya kulinda genge la watu waliokosa ridhaa ya wananchi.

Siasa zimekushinda kaa kando uache kujificha ficha kwenye sketi za polisi.
Sheria ni maandiko yanayoishi, be careful.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo

Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
CHINI YA LISSU WATASHINDWA TU

walikuwa wanabipu eeh!!
Hata mshindi watamtangaza hivi hivi.

Kila stage NEC imejaribu kuisaidia CCM lakini wapi.
 
Naomba kuuliza, nimekutana na wakala wa chama cha upinzani anatoka kuapishwa lakini hawakupatiwa nakala ya kiapo. Je, hii imekaaje? je, nakala ya kiapo haikutakiwa kutolewa kwa wakala mla kiapo? Naomba nijuzwe tafadhali.
Na wapewe Barua za kiapo na NEC ihakikishe barua za utambulisho wa mawakala chama au wakala anapewa nakala
 
Kazi zingine ni za hatari sana.Tume hapo imefanya uamuzi wa Busara.
Wameogopa. Kazi ya chadema ni noma. Chadema ni tasisi kubwa. Mabadiliko haramu yaliyofanywa na NEC ndani ya masaaa mawili kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa Nne Katibu Mkuu JJM alikuwa kashanasa taarifa zote nchi nzima in a very detailed manner.

Timing aliyofanya ku present kwenye press ilikuwa ni ya kiintelijensia zaidi na imeleta Matunda. Je kesho watagoma tena??
 
Back
Top Bottom