Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

Asante kwa matusi
Nilikuwa nashangaa kwa nini hawakuweka ratiba kusema kuapishwa ni kuanzia 10.21 - 10.23 kusudi vyama vishiriki na kupewa haki yao sasa sijui wapi nimekosea?
Rejea michango yangu kuhusu upinzani utaelewa
Nikutakie wakati mzuri
Msamehe bure mkuu.

Anakufananishaje na hao watu???
 
Serikali na vyombo vyake viachwe vifanye kazi zake kwa mujibu wa sheria. Kuongea sana na kutukana sana sio ujanja. Ujuaji mwingi mwisho mtajiharibia wenyewe
5days to go
 
Mtu mweusi tatizo sana usumbufu wanajitafutia wenyewe. Kwanini usitende haki ili kuondokana na huo usumbufu?
Kwani haki imevunjwa wapi si ulipiga kura hayo ndo matokeo unataka watu waingie barabarani utapanda ulicho vuna
 
Leta mrejesho Mkuu.Uchaguzi umekwisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…