Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Msamehe bure mkuu.Asante kwa matusi
Nilikuwa nashangaa kwa nini hawakuweka ratiba kusema kuapishwa ni kuanzia 10.21 - 10.23 kusudi vyama vishiriki na kupewa haki yao sasa sijui wapi nimekosea?
Rejea michango yangu kuhusu upinzani utaelewa
Nikutakie wakati mzuri
Anakufananishaje na hao watu???