Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
[emoji23][emoji23][emoji23] .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
[emoji23] [emoji23] tutaelewana tuu, wameongeza na mda.
 
#Updates: Kilombero mkurugenzi alisema atawaapisha mawakala saa 6 mchana, sasa hv tena wamebadilisha wamesema mpaka saa 11 jioni...

wananchi wamesema isiwe tabu wamechanga pesa wameenda kununua mchele na mboga wameamua kupika chakula kabisa huku wakisubiri mawakala waapishwe ndio waondoke.

WAKIWEKA UGOKO SISI TUNAWEKA JIWE.😅

1603286535182.png
 
Tamko la Mnyika limemsukuma, kwa nini wanapenda kusukumwa sukumwa?
Kwasababu Hamko organized hizo n hurumhuruma tu za NEC ili moose visingizio kiukweli hamna jipya mmebaki jazba tu
 
Hatukuzoea kabisa kuona haya mambo hapa nchini, tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, ila JK mungu anakuona huko uliko
 
Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru
Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
 
Katika uchaguzi huu NEC inajitahidi ili chadema wakose visingizio baada ya kushindwa katika sanduku la kura.
Wakifanya HAKI mgombea Mwenyewe Lissu alisema nitakuwa wa Kwanza kuyatambua hayo Matokeo
 
Hawa NEC na Wasimamizi wake majimboni bila mbinyo hawawezi kwenda sawasawa.

Mgombea uRais Tundu Lissu, katibu Mkuu CHADEMA, wanachama, wapenzi wa Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu bila kujali vyama na waTanzania wote tuendelee kufichua mipango ovu na michafu ya kutaka kuvuruga uchaguzi usiwe wa Haki utakaoleta amani ya kweli Tanzania.

Katibu Mkuu wa CHADEMA John John Myika akiongea na waTanzania kupitia vyombo vya habari leo 21/10/2020

21 /10/2020 Tundu Lissu atoa tamko: Figisu za uchaguzi zimeanza, Mawakala wa CHADEMA wakataliwa kuapishwa

 
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
😂😂😂 .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
Nashauri mbinu hiyo itangazwe Tanzania nzima.
Mwambieni Lisu awatangazie watu kwenye mikutano yake.
Nguvu ya uma ianze kutumika kwenye kuapisha mawakala na ije itumike kutangaza matokeo.
 
Back
Top Bottom