Uchaguzi 2020 NEC yapitia na kuchambua Rufaa 67 za Wagombea Ubunge na Udiwani

Uchaguzi 2020 NEC yapitia na kuchambua Rufaa 67 za Wagombea Ubunge na Udiwani

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
1599753127610.png


1599753141601.png


1599753157205.png
 
Wanaendelea na ngonjera zao? Sisi tumesema tunataka wagombea wote warudishwe bila masharto wakashindwe kwenye sanduku la kura waache usanii wa kishamba
Watu Wana hasira kiasi kwamba wameanza kunena kuwa lugha
 
Wakuu huku Sirari tuliumia sana mno pale tuliposikia kuwa huko Dar mgombea wa Ubunge Jacob kafanyiwa vigisu vigisu tulisikitika snaa mno maaana huyo mwamba akienda bungeni wakakutana na huyu mwamba wetu Hechei hilo bunge hata kama Lissu atakuwa ndio rais, Watanzania wataishi kwa uhuru na amani maaana huyo jamaa na hechei ni watetezi wa haki wasiojali wako chama gani, na ni watu walioshiba ambao hawawezi sukumwa sukumwa kule bungeni. Watu wa Ubungo kazi kwenu sasa mshindwe wenyewe, na kama kuna mtu atamnyima kura huyo mwamba basi atatakiwa apimwe akiri.

Ubungo huyo Jacob Boniface ndio Mbunge wa Uhakika msichague wa kwenda kuongeza vichwa wakuu tafadhali mtafanya kosa kubwa Sana kumuacha huyo mtu ndio maaana walimfanyia vigisu vigisu kama hamjui, waligundua kuwa huyo ni kichwa.
 
Figisu kumbe zikiwa nyingi ni vigisu.

Tunashukuru kwa hili, mafisi yanataka kula hata mifupa migumu isiyoiweza.
 
Jacob watu Wa huku tarime walisikitika sanaa, wanakujua vizur wewe ni jembe la Uhakika, wanaubungo Kazi kwenu sisi huku tumeishakamilisha kazi, cha pombe asubuhi tu atakuwa amekula mtama na wakurya hatuibiwi kura, anaweza kuiba kura siku hiyo tunagawana Majengo, sisi hatuogopwi Majengo ila tunaogopa nyoka tu, hivyo huku tarime kura zetu zinazijuaga kabla hata hatujapiga kura, huwa tunakuwa tumeishajihesabu na wanaume wetu huwa hatuna muda wa kuwasaliti huwa tunaamua Kwa pamoja.

Wakuu huko Ubungo msifanye makosa.
 
Hata mimi nilisikitika. Nataka uwanja uwe huru kama walivyoshauri Maaskofu.
 
Hata mimi nilisikitika. Nataka uwanja uwe huru kama walivyoshauri Maaskofu.
Mkuu, Tarime iliumia Sana, kwa nini huyo kitila mkumbo akimuogoba jacobo? Kijana mtetexi wa watu huyo sisi tumefurahi Sana, tunataka na Yule wa Morogoro mjini arudishwe ili huyo tajiri ahangaike maaana katumia hela kumdhalilisha na kutumia polisi na nguvu nyiiiingi ili apite bila kupingwa, tunataka Yule dada arudi ili hela za Yule tajiri wa aboood zipoteee, tunajua alihonga hela nyingi mno
 
Katika lufaa hizo hakuna za waliopita bila kupingwa walorudishiwa wapinzani ?
 
Wakuuu, yule tajiri wa Morogoro Abood, kila mtu aliona kuwa ule unyama aliofanyiwa yule mdada wa Morogoro mjini kuenguliwa ilionesha kuwa polis na msimamiz walikula hela ndefu Sana.

Ule unyama ulionesha hela Yule tajiri alitoa ndefu mno, Watanzania tuungane hadi yule mdada arudishwe ili huyo tajiri apambane kihalali, tunajua atatumia hata bilioni kuwapa nec, tunaomba nec mkatae hizo rushwa mkamrudishe Yule mdada wa chadema Morogoro Mjini alinyanyaswa mno na kudhalilishwa kisa huyo tajiri.

Tuko Tiyari kuwaachia Kabudi wenu na majaariwa wenu ila turudishie Yule mdada wa Morogoro mjini tutawapa nyongeza kigwangala, Plz watanzania hatutawaelewa, tunaomba tume Ya Uchaguzi imrudishe Yule dada wa Moro alifanyiwa unyama wa Juu mno tena hadharani arudishwe wananchi wa Moro waamue wenyewe
 
Back
Top Bottom