BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
NEC mpaka hivi sasa mmeifanya kazi yenu vizuri na mmekidhi matarajio yetu kwenu. Hawa wanaozusha uwepo wa vituo na wapiga kura hewa ni wapuuzi tu waliokwisha poteza dira so lazima waje na uzushi ili waendelee kuongelewa