BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kumbuka idad ya wapiga kura hazifanan kwa Kila kituo nadhan hiyo 450 had 500 Ni maximumKama vituo ni 81,155, na idadi ya wapiga kura kila kituo ni 450-500, basi idadi itazidi wapiga kura 29m+. 81,155 x 450 = 36,069,750! Huu ni utata mtupu. Halafu malalamiko ya vituo hewa yana zaidi ya siku 3, mpaka leo si watakuwa wameshaondoa hivyo vituo ili kuficha ushahidi? Hatuna imani na tume ya uchaguzi fullstop.
uliona birth certificates zao kuwa wana umri chini ya miaka 18? ziweke hapa wewe ndie ulete ushahidi kuwa vyeyti vyao vya kuzaliwa vinaonyesha wana umri chini ya miaka 18Bwana Zungu, Naibu Waziri Mazingira, ameonekana kwenye video clip akiwafundisha watoto wa shule chini ya miaka 18 namna ya kumpigia kura za ndio Magufuli. Wamejifungia ndani ya chumba.
Tume ituambie, hawa watoto watapiga kura kituo gani? Kwa nini Zungu mpaka leo hajakamatwa?
wewe umeshaleta vituo hewa vipya elfu moja tume imesema vituo viko 80,155 wewe na uongo wako wa chadema umeweka 81,155 umezidisha vituo 1,000 chapchap!!!Kama vituo ni 81,155, na idadi ya wapiga kura kila kituo ni 450-500, basi idadi itazidi wapiga kura 29m+. 81,155 x 450 = 36,069,750! Huu ni utata mtupu. Halafu malalamiko ya vituo hewa yana zaidi ya siku 3, mpaka leo si watakuwa wameshaondoa hivyo vituo ili kuficha ushahidi? Hatuna imani na tume ya uchaguzi fullstop.
Mbowe kasema wameandaa mawakala wa CHADEMA 80,000 wewe unasema haviki elfu 80 sasa tumuamini nani wewe au Mbowe? ina maana Mbowe kaanda majina ya mawakala hewa ili aibe posho zao kwa kusingizia wako elfu 80 wakati hawafiki?Kama vituo ni 81,155, na idadi ya wapiga kura kila kituo ni 450-500, basi idadi itazidi wapiga kura 29m+. 81,155 x 450 = 36,069,750! Huu ni utata mtupu. Halafu malalamiko ya vituo hewa yana zaidi ya siku 3, mpaka leo si watakuwa wameshaondoa hivyo vituo ili kuficha ushahidi? Hatuna imani na tume ya uchaguzi fullstop.
Ndio maana nikapiga kwa 450, hata ukipiga kwa 400 bado itazidi 29m+. Wizi mtupu.Kumbuka idad ya wapiga kura hazifanan kwa Kila kituo nadhan hiyo 450 had 500 Ni maximum
Tume wanasema ni vituo 80,155 na grand total yangu ni ya 80,155 hiyo 81 nimetype kwa makosa. Tume inasema kila kituo kina watu 450-500. Rejea wanachosema na sio utakacho.wewe umeshaleta vituo hewa vipya elfu moja tume imesema vituo viko 80,155 wewe na uongo wako wa chadema umeweka 81,155 umezidisha vituo 1,000 chapchap!!!
Tume wanasema kisizidi watu 450-500 wewe unasema vitakuwa na 450 hadi 500!!!
So umeambiwa tuma ushahidi ..Bwana Zungu, Naibu Waziri Mazingira, ameonekana kwenye video clip akiwafundisha watoto wa shule chini ya miaka 18 namna ya kumpigia kura za ndio Magufuli. Wamejifungia ndani ya chumba.
Tume ituambie, hawa watoto watapiga kura kituo gani? Kwa nini Zungu mpaka leo hajakamatwa?