Uchaguzi 2020 NEC yatangaza Nchi na Taasisi zilizoruhusiwa kuwa watazamaji (Observors) wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 28

Nenda kwenye magroup yenu ya bavicha huko ndio mtakuwa mnatiana moyo kwa coment za aina moja kwamba Lisu atashinda kupitia Amsterdam.
.
Kwanza usikotiwe we nani hasa?
Unavyohangaika utafikiri bisi ziko kwenye kikaango motoni. NJIA PEKEE ILIYOKUWA IMEBAKI NI KUIBA KURA NA NDIO MNAYOITEGEMEA LAKINI SAFARI HII NI YA MOTO KILAZA WAHEDI.
 
Huyu naye atupishe, kishachemsha tangia mwanzo, katumwa kuvuruga wala siyo kujenga...anataka tusahau alivyo bias na unbalanced..

Hii tume bado siyo huru...mapandikizi yamejaa huko!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mlivyo wajinga mnashngilia!

Yani huyu Amsterdam haoni anavyomharibia mteja wake?

Yani tume kutoka nchi huru ya kiafrika inatishwa na raia mmoja toka nje kisa Lisu? Alafu unataka awe rais wa taifa letu?

Never
Kwa akili yako fupi unajua anamharibia ila kwa wenye upeo tunajua kuwa nyie na mbinu zenu zote mnaenda kufia mwaka huu!! Mnadhani kuna Amsterdam tu hapana. Wenye akili na dunia tupo pamoja na Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!!
 
Huyu Amsterdam anamharibia sana Lisu!

Yani yeye anamsemea Lisu kama nani?
Baada mawakili wa hapa nchini kutishwa jumuia ya mawakili duniani ilimuwekea wakili wa kushugulikia masuala yake ndani na nje ya nchi kama unadhani kawekwa na mabeberu sio.
 
Unavyohangaika utafikiri bisi ziko kwenye kikaango motoni. NJIA PEKEE ILIYOKUWA IMEBAKI NI KUIBA KURA NA NDIO MNAYOITEGEMEA LAKINI SAFARI HII NI YA MOTO KILAZA WAHEDI.
Sasa unaiba kitu ambacho hakipo?

Lisu hana kura za kuibiwa,
Na ndio mgombe pekee atakaetia aibu ya kupata asilimia chache sana katika wagombea wote waliowahi kugombea chadema.

Pia ndio mgombea pekee atakaesababisha ruzuku ya chadema kupungua sana kwa kuwa hana uwezo wa kupata walau wabunge 10 na wingi wa kura za urais, ndio maana unaona kina Mbowe wamenua wanaona hasara tu
 
Ukiiona barua yenye wino wa wakili wa kimataifa Amsterdam imeelekezwa moja kwa moja kwako ama unapaswa kuiona nakala yake, basi tambua kosa la uhalifu wa kimataifa linakuhusu. Mwaka huu wa uchaguzi wengi wanababuka kwa moto. Waliozoea vya kunyonga, sasa vya kuchinja wataviwezea wapi?
 
Taaluma ya uandishi habari imekufa kabisa hapa tz. Hakuna wa kuthubutu kumuuliza kwa nini yeye kama msimamizi anampigia kampeni Magufuli nakumponda Lissu
 
Kwa akili yako fupi unajua anamharibia ila kwa wenye upeo tunajua kuwa nyie na mbinu zenu. Zote mnaenda kufikia mwaka huu!! Mnadhani kuna Amsterdam tu hapana. Wenye akili na dunia ipo pamoja na Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!!
Kwahiyo hao ndio watampigia kura na kumtangaza mshindi?

Lisu havuki 20% ya kura zote!

Huyo beberu wake anazidi kumharibia. Ile hoja ya kwamba ni kibaraka inazidi kupata nguvu.

Yani mtu kutoka nje anakuwaje msemaji wa mgombea kutoka nchi huru?
 
Najiuliza Lisu atapigiwa kura na kutangazwa na Amsterdam?

Huyu jamaa kumbe kweli ni kibaraka
Hapana. Lissu ni mzalendo wa kweli. Anatuzidi wote, wakiwemo viongozi wetu, kwa kupigania haki za wananchi wa kawaida dhidi ya unyonyaji wa makampuni ya kibeberu ya madini. Amefanya hivyo bila kuacha toka miaka ya 90. Kabla ya kuwekwa jela mara nyingi eti kwa kumkosoa Rais wa sasa, aliwekwa jela mara nyingi pia kwa 'uchochezi' wa kuwatetea hao wananchi wa maeneo ya migodi. Serikali inamjua hivyo. Polisi wanamjua hivyo. Ndiyo sababu juzi walimzuia kwa mabomu ya machozi kwenda Nyamongo ilipo Barrick. Waliogopa 'kuwachochea' wananchi tena. Jiongeze. Epuka kumzushia mtu eti achukiwe na wananchi. Ni wazi kama kuna vibaraka ni wewe na sisi wote ambao tunawasema mabeberu kinadharia lakini tunalinda unyonyaji wao hata kwa kuwapiga mabomu watu wetu. Kibaraka siyo Lissu. Ukweli utuweke huru
 
Kumbe ndiyo maana leo kawa mpole. Mwanzo alipokuwa akizungumza alisema wanamhitaji Mh Lissu awe amefika Dom kwenye Kamati ya Maadili tar 29/09. Leo kazungumza kwa upoleee na kusema Mh Lissu anatakiwa kufika Dar mara baada ya kupata barua ndani ya saa 48.

Naunga Mkono Hoja.
 
Lisu ni kibaraka tu,

Sasa asubiri oktoba tutampiga yeye na hako kabebru kake kanakoandika barua za kuitisha tume.
 
Kwahiyo hao ndio watampigia kura na kumtangaza mshindi?

Lisu havuki 20% ya kura zote!

Huyo beberu wake anazidi kumharibia. Ile hoja ya kwamba ni kibaraka inazidi kupata nguvu.

Yani mtu kutoka nje anakuwaje msemaji wa mgombea kutoka nchi huru?
Lissu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025. Utake usitake.

Kama kuungwa mkono na wazungu ndo kigezo cha kutokuwa Raisi basi hata Nyerere asingekuwa Raisi maana aliungwa mkono na Marekani( Serikali ya Marekani) kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…