Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Barua insmweleza ukweli atende haki , kuambiwa utende haki na ufuate sheria na katiba ndio kutishwa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upendeleleo uliopindukiaTENDA HAKI
ACHA UPENDELEO KWA CCM
AMANI INAENDA NA HAKI, HAKUNA HAKI HAKUNA AMANI
Toka aseme watanzania wanachotaka hakuna kilichobadirika.Leo mbona hajasema Watanzania wanataka nini?
Unaonekana siku hizi uko so desperate na uchaguzi, take it easy bro this shall pass too.Subiri oktoba tutampiga Lisu na beberu wake wote kwa pamoja
Mtakuja kujua endelezeni undezi wenuHuyu Amsterdam anamharibia sana Lisu!
Yani yeye anamsemea Lisu kama nani?
Unavyohangaika utafikiri bisi ziko kwenye kikaango motoni. NJIA PEKEE ILIYOKUWA IMEBAKI NI KUIBA KURA NA NDIO MNAYOITEGEMEA LAKINI SAFARI HII NI YA MOTO KILAZA WAHEDI.Nenda kwenye magroup yenu ya bavicha huko ndio mtakuwa mnatiana moyo kwa coment za aina moja kwamba Lisu atashinda kupitia Amsterdam.
.
Kwanza usikotiwe we nani hasa?
Ok.. Basi tumuache aendelee kumsemea LisuMtakuja kujua endelezeni undezi wenu
Kwa akili yako fupi unajua anamharibia ila kwa wenye upeo tunajua kuwa nyie na mbinu zenu zote mnaenda kufia mwaka huu!! Mnadhani kuna Amsterdam tu hapana. Wenye akili na dunia tupo pamoja na Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!!Mlivyo wajinga mnashngilia!
Yani huyu Amsterdam haoni anavyomharibia mteja wake?
Yani tume kutoka nchi huru ya kiafrika inatishwa na raia mmoja toka nje kisa Lisu? Alafu unataka awe rais wa taifa letu?
Never
Baada mawakili wa hapa nchini kutishwa jumuia ya mawakili duniani ilimuwekea wakili wa kushugulikia masuala yake ndani na nje ya nchi kama unadhani kawekwa na mabeberu sio.Huyu Amsterdam anamharibia sana Lisu!
Yani yeye anamsemea Lisu kama nani?
Sasa unaiba kitu ambacho hakipo?Unavyohangaika utafikiri bisi ziko kwenye kikaango motoni. NJIA PEKEE ILIYOKUWA IMEBAKI NI KUIBA KURA NA NDIO MNAYOITEGEMEA LAKINI SAFARI HII NI YA MOTO KILAZA WAHEDI.
Taaluma ya uandishi habari imekufa kabisa hapa tz. Hakuna wa kuthubutu kumuuliza kwa nini yeye kama msimamizi anampigia kampeni Magufuli nakumponda Lissu29 September 2020
NEC Yataja NCHI Zilizopata KIBALI cha kuwa WAANGALIZI wa UCHAGUZI Mkuu OKTOBA 28....
USA, Denmark, Netherlands, Japan, Germany, Belgium , Sweden n.k wamepata vibali kuwa watazamaji (observers)
TUME ya taifa ya uchaguzi (NEC) kupitia kwa mkurugenzi wake, Dkt Willson Mahera, leo Septemba 29, wamezungumza na wanahabari na kutaja nchi zilizopewa kibali cha kuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu....Marekani, Japan, Denmark, Ubelgiji (Belgium) NeZzherlands n.k hawa ni watazamaji observers toka nje na pia wiki moja kabla ya uchaguzi mawakala wa vyama na wagombea wao ..Maadili ya Uchaguzi .. Elimu ya Mpiga Kura nchi nzima inaendeshwa chini ya usimamizi wa Tume ya Uchaguzi... asasi 245 vimepata kibali Tanganyika na 7 Zanzibar kueneza Elimu ya Mpiga Kura , Asasi 97 za nchini Tanzania wamepewa ridhaa ya kuwa waangalizi (monitors) ktk uchaguzi...
Kwahiyo hao ndio watampigia kura na kumtangaza mshindi?Kwa akili yako fupi unajua anamharibia ila kwa wenye upeo tunajua kuwa nyie na mbinu zenu. Zote mnaenda kufikia mwaka huu!! Mnadhani kuna Amsterdam tu hapana. Wenye akili na dunia ipo pamoja na Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!!
Hapana. Lissu ni mzalendo wa kweli. Anatuzidi wote, wakiwemo viongozi wetu, kwa kupigania haki za wananchi wa kawaida dhidi ya unyonyaji wa makampuni ya kibeberu ya madini. Amefanya hivyo bila kuacha toka miaka ya 90. Kabla ya kuwekwa jela mara nyingi eti kwa kumkosoa Rais wa sasa, aliwekwa jela mara nyingi pia kwa 'uchochezi' wa kuwatetea hao wananchi wa maeneo ya migodi. Serikali inamjua hivyo. Polisi wanamjua hivyo. Ndiyo sababu juzi walimzuia kwa mabomu ya machozi kwenda Nyamongo ilipo Barrick. Waliogopa 'kuwachochea' wananchi tena. Jiongeze. Epuka kumzushia mtu eti achukiwe na wananchi. Ni wazi kama kuna vibaraka ni wewe na sisi wote ambao tunawasema mabeberu kinadharia lakini tunalinda unyonyaji wao hata kwa kuwapiga mabomu watu wetu. Kibaraka siyo Lissu. Ukweli utuweke huruNajiuliza Lisu atapigiwa kura na kutangazwa na Amsterdam?
Huyu jamaa kumbe kweli ni kibaraka
Kumbe ndiyo maana leo kawa mpole. Mwanzo alipokuwa akizungumza alisema wanamhitaji Mh Lissu awe amefika Dom kwenye Kamati ya Maadili tar 29/09. Leo kazungumza kwa upoleee na kusema Mh Lissu anatakiwa kufika Dar mara baada ya kupata barua ndani ya saa 48.Mahera ni refa mshambuliaji [emoji23][emoji23]. Ila nayeye ajiandae kwenda The hague.
Nashauri waendeelee kuropoka ili pawe na ushahidi wa kutosha ili wote wafungwe the hague. Pia ushahidi uhifadhiwe na video zao wakiongea zitafsiriwe kwa kingereza na ziwe na subtitle za kingereza.
Lisu ni kibaraka tu,Hapana. Lissu ni mzalendo wa kweli. Anatuzidi wote, wakiwemo viongozi wetu, kwa kupigania haki za wananchi wa kawaida dhidi ya unyonyaji wa makampuni ya kibeberu ya madini. Amefanya hivyo bila kuacha toka miaka ya 90. Kabla ya kuwekwa jela mara nyingi eti kwa kumkosoa Rais wa sasa, aliwekwa jela mara nyingi pia kwa 'uchochezi' wa kuwatetea hao wananchi wa maeneo ya migodi. Serikali inamjua hivyo. Polisi wanamjua hivyo. Ndiyo sababu juzi walimzuia kwa mabomu ya machozi kwenda Nyamongo ilipo Barrick. Waliogopa 'kuwachochea' wananchi tena. Jiongeze. Epuka kumzushia mtu eti achukiwe na wananchi. Ni wazi kama kuna vibaraka ni wewe na sisi wote ambao tunawasema mabeberu kinadharia lakini tunalinda unyonyaji wao hata kwa kuwapiga mabomu watu wetu. Kibaraka siyo Lissu. Ukweli utuweke huru
Lissu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025. Utake usitake.Kwahiyo hao ndio watampigia kura na kumtangaza mshindi?
Lisu havuki 20% ya kura zote!
Huyo beberu wake anazidi kumharibia. Ile hoja ya kwamba ni kibaraka inazidi kupata nguvu.
Yani mtu kutoka nje anakuwaje msemaji wa mgombea kutoka nchi huru?